Hasira za Chadema hazisaidii chochote ccm/cuf Z’bar lengo ni kuuvunja Muungano fake

View attachment 21815

Mimi nachangazwa na Chadema kufanya hasira na chama cha Cuf kwaa jili wameunda Serekali ya kitaifa Zanzibar, Jee walipokuwa Wzanzibar wakisagwa na Jeshi la Tanganyika lililoko Zanzibar Chadema mulikuwa wapi? Kama kwelii Chadema muna hasira kwanza Mungedai Nchi yenu Tanganyika mulioipigania uhuru wa nchi yenu na historia ya watu wenu sio Mukumbatie Muungano ambao Wzanzibar wanaomba wakati wowote uvunjike na wawe huru.

Wzanzibar htunawaona mafalaa vipi mupiganie uhuru wa nchi yenu Tanganyika halafu Mukubali kufa kwa Tanganyika yenu mulio ipigania uhuru? Sisi Wzanzibar hatutaki Muungano wala kuwataka Nyiyi ni yiyi wenyewe tu munao jipendekeza kwetu hujifanya tu oomuna maduka huku,siwi tukivunja Muungano mutapata tabu, lakini uongo mwaogopa kuutukosaa hada dada zenu hufaa kwetu.

Sisi ndio tusio utaka Muungano na nyiyi ndio munakufaa nao hata siku moja sijawaskia Chadema kudai Tanganyika na katiba ya Tanganyika au Serekali Tatu, sana utaskia cuf watueleze kwa nini wakaunda Serekali ya umoja wa kitaifa sijuwi wamevunja katiba ya Muungano kusema Zanzibar ni Nchi na mipaka yake so what? Ikiwa ni Serekali ya Umoja wa kitaifa basi walio ungano ni Wzanzibar na sio Wtanganyika na kwa faida ya Zanzibar na kizazi cha Wzanzibar sasa shuki na choyo shenu cha nini? Kama na nyiyi mutaaungana Kuurudishaa Tanganyika yenu nani atawaingilia?
Na kusema tumevunja katiba ya Muungano kuwa tumejitambulicha kuwa Zanzibar ni Nchi na mipaka yake Kwani muna zani Zanzibar ni mkoa? Na sisi na nyiyi yupi alovunja mkataba wa Muungano sisi au nyiyi? Ni nani lacuna Tanganyika na Katiba ya Tanganyika anbayo ni mshirika wa Muungano ktk masuala yasio ya Muungano? Muta jijua. Mungu ibariki Zanzibar na tuepushe na Muungano fake wa Majambazi.

I think you are not at the right place!
 
jamani wana jf huyu jamaa ni kirusi cha computer,thats why haeleweki nini anaongea alafu nahsi anataka basha kama si mgonjwa wa ngili.muangalieni vizur nashaur tumpotezee
 
Typical Kafkojo wee toka minungwini, umeshaingiya mjini eeeh!? Hii thread ingependeza kama pia ungeli-attach na form(std) iv results za pemba kule(chanjamjawiri,ole,gando,ziwani,kengeja,minungwini,chambani,ufundi utaani....) ntaka kumwona nshkaji angu ba hamad faki shaame!
 
Back
Top Bottom