Hasimamishi tena toka alipopata ajar nifanyeje?

Waswahili wanasema mficha maradhi mauti yatamuumbua ndiyo hayo,namini kuna zaidi alichokifanya ndio maana alipopata ajali alienda kuugulia kwa uncle wake ili mkewe asijue ,sasa amelikoroga alinywe
 
hebu jaman 2ache masihara kaz ninayofanya na wa2 wanaonizunguka ndo wananipa haya na asilimia kubwa ni wa2 wangu wa karibu jaman jaman

MUREFU imeonesha huna infor kamili la tatizo zima... Kama rafiki wake wa kweli na anahitaji msaada kwako its beta akwambie kweli...
 
kaka vip mbona kimya huwa sipend kuwa muongo mana ninaamin hapa ndo sehemu ya kupata ushaur kabisa mana kama nitakuwa ninafanya masihara na utan ninafikir wapo wengne ila haya yote niliyoyasema ni watu yamewatokea na mengne yamenitokea mimi mwenyewe kama lile na yule bint wa mdogo wangu na mwengne hvyo ninaamin hapa co sehemu ya kureta masihara wala utan. Kaz ninayofanya ndo inanipa changamoto kama hz. Na pia kuaminika kwangu ndo pananisaidia hv

tuko pamoja! Inaonekana ni dereva tax maarufu sana..Nitakutafuta hapo Magomeni
 
MUREFU imeonesha huna infor kamili la tatizo zima... Kama rafiki wake wa kweli na anahitaji msaada kwako its beta akwambie kweli...

kusema ukwel yeye alichonieleza ni hcho na mm nimekisema khs lingne. Mm cjui labda anifiche yeye mana ni dereva mwenzetu alitoweka muda kumbe ndo yalimtokea hayo na amerud ameniambia hakuna anaejua zaid ya mm. Yeye huwa anapaki ubungo stend ya mkoa sasa cjui kama anamengne ila cjui zaid ya alichonieleza
 
mpendwa kusema ukwel ninafanya kaz ya tax driver magomen hvyo huwa ikifika jion au nikiwa nimechoka huwa ninaweza kubadil kijiwe na kwenda kwngne hvyo kule ninapokwenda kupak ninakutana na wenzangu tofaut tofaut na siku nyngne ninaweza kupata day waka ya magar ya mzigo kwenda mkoan hvyo nikikutana na marafik zangu na kunawengne unaweza usiwaone cunajua kaz zetu hv hvyo ukifika hapo kama hayupo unamuulizia. Kama kakumbwa na maswaiba ndo wanakueleza. Asilimia kubwa huwa wananieleza mimi ni jins gan niwasaidie kutokana na kuaminika sana na huwa sina tabia ya kumwaga ukwel wa mtu na ndo mana unaona kila siku ni mimi na stor mpya sawa MPENDWA

duh..! Asante sana!..inaonekana wewe ni mtu wa karibu sana kwa marafiki wako. Mi nakupongeza tu, maana nimeona stori zimezidi
 
kwa kweli bora amwambie ukweli mkewe yan mwisho wake atatombewa asijidai mjanja kabisa kwenye suala la ndoa
 
kusema ukwel yeye alichonieleza ni hcho na mm nimekisema khs lingne. Mm cjui labda anifiche yeye mana ni dereva mwenzetu alitoweka muda kumbe ndo yalimtokea hayo na amerud ameniambia hakuna anaejua zaid ya mm. Yeye huwa anapaki ubungo stend ya mkoa sasa cjui kama anamengne ila cjui zaid ya alichonieleza

Nimekuelewa... but inabidi umdadisi kupata ukweli, mana anaonekana si mkweli na mpaka amekwambia wewe ina maana kisha enda hospital, kisha tumia viagra na vimeshindikana. Na hivi umeniambia ni dereva i think atakua amekanya vya watu ambavyo waliweka mtego wa panya...
 
duh..! Asante sana!..inaonekana wewe ni mtu wa karibu sana kwa marafiki wako. Mi nakupongeza tu, maana nimeona stori zimezidi

kama vp kaka for more infor tutachekiana kwny PM kama vg
 
Back
Top Bottom