Hasimamishi tena toka alipopata ajar nifanyeje?

Hizi stori za kutunga huwa unazitoa wapi??
Halafu kunavyoitetea utafikiri ni kweli...

mpendwa kama jina lako ninavyosema ninaomba unitake radhi huwa sipend kuwa muongo kaz yangu ninayofanya ndo inanipa stor kama hz ninaomba 2heshmiane

mpendwa kama jina lako ninavyosema ninaomba unitake radhi huwa sipend kuwa muongo kaz yangu ninayofanya ndo inanipa stor kama hz ninaomba 2heshmiane

Habar zenyu wanathnker ninaomba mnisaidie jaman ninarafik yangu wa karbu anaumri 30 na anauwezo na kila ki2 na ananisaidia katka biashara zangu. Mara ya mwisho baada ya kuona hana jins akaniambia anataka kuzaa na msichana ilimrad awe na mtoto wakat anaendelea kutafuta mke taratibu. Na mm kwakuona umri wake kwel umekwenda nikamkubalia wazo hilo. Sasa tatzo linakuja amejenga mazoea na msichana mdogo (ambaye ni rafiki wa mdogo wangu wa kike pia) 18 ambae amemaliza form 4 hv juz na ameniambia anataka kuzaa nae. Mimi huyo msichana ananiheshimu kama kaka yake baada ya jamaa kujakuniambia anataka kumzalisha yule msichana hatuelewan kabisa baada ya mimi kumpinga kias kwamba kampiga marufuku yule msichana kuja home. Alafu pia kamkataza kuongea na mdogo wangu je wanathnker nifanyeje nimuokoe huyu mdogo wangu?

Habar zenu wanathnker kwa muda kidogo nilikuwa nipo off air hii ni kupambana na hal ya maisha ya hapa na pale ili kutimiza kaul ya wazir kila mtu atakula kwa jasho lake. 2achane la hlo kubwa kuliko lote ninajiran yangu wa kike alikuwa na mahusiano ya muda mrefu na kijana mmoja wa kinaijelia. Sasa imefikia ha2a za uchumba yule kijana anamwambia huyu msichana aache kaz aliyokuwa akifanya. Na ukichek huyu dada hyo kaz ndo inampa mlo na maisha na inahudumia hata nyumban kwao. Na huyu kijana wa kijana hana uweza wa kumuhudumia huyu bint sasa anauliza je anafanyeje na maisha yalivyo magumu na anampenda sana jamaa anaomba apate ushaur wenu(usimshaur amuache)

Wana ndg ningeomba ushaur wenu mana ninarafiki yangu anampenz wake wa kike. Nimejaribu kumshaur lakn nimeshndwa labda na nyny mnaweza kunisaidia ili nifikishe kwake ushaur huu. Rafiki yangu ana mpenz wake lakn huyo mpenz wake alimueleza waz jamaa kuwa anampenda sana jamaa ila inapofika katka tendo la ndoa msichana anasema haridhiki na wala hasikii raha. Ila anampenda jamaa na mshkaj kasha2mia njia zote ila bado mpenz wake haridhiki je afanyeje? .Ninaomba 2mshaur na msichana ni mkwel anampenda sana jamaa mana jamaa alitaka kumuacha ila demu akataka kujiuwa je afanyeje? Ushauri wenu plz

Wewe kila siku una stori za wenzio tu...unafanya kazi gani hiyo...Nina wasi wasi...hebu angalia huo mtiririko...Hebu heshimu jukwaa, wengine ni baba au babu zako..

heh! Na wewe unamsikiriza huyo haya hasante vp umeshndwa kulala au jamaa nae hasimami
Umeusisitiza tuache porojo tutoe ushauri, sasa mbona wewe unatoka nje ya mada? Au tuamini alichosema Mpendwa story za kutunga???

Hebu fanya mambo yetu mie cmu inanilimit mno nimeshindwa kutekeleza kazi yangu

huyo, sijui ni under age??

Angalia posts zake;

Habare zenyu wanat hinker;

Ninamatumain yangu mu wazima na polen sana kwny pilikapilika za kuendelea kutafuta hiki na kile. Kama kawaida yangu nikiwa kwny kutafuta tafuta, nikiwa ninasubir panton ghafla nikiwa nimekaa nasinzia wakatokea watu wawili (njisia ya kike na yakiume) kwa muongekano wao walikuwa wanachuo na kama walikuwa wana mahusiano.

Katika ongea zao yule mwaname alikuwa anaulizia sana marafik wa kike wa yule msichana wakawa wanaongelea ndipo yule msichana akaona huyu mtu vipi mbona kila mtu anamuulizia na anaye mpenz ndipo akaamua kuropoka kwa saut WEWE VP UNAWATAKA NINI MBONA KILA MTU UNAMUULIZIA.

Je wana thinker hv mtu kumuulizia mtu ni vibaya?

unapenda tu kuongeza idadi ya posts na vitu vya kutunga..siku utakuja na shida ya ukweli tutashindwa kukushauri vizuri. Jipange upya

Wewe kila siku una stori za wenzio tu...unafanya kazi gani hiyo...Nina wasi wasi...hebu angalia huo mtiririko...Hebu heshimu jukwaa, wengine ni baba au babu zako..

Nimekugongea thanx my fellow mchunguzi cmu inaniboa mno Thread Closed!!

Wewe kila siku una stori za wenzio tu...unafanya kazi gani hiyo...Nina wasi wasi...hebu angalia huo mtiririko...Hebu heshimu jukwaa, wengine ni baba au babu zako..
Atakuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea! Au mshauri nasaha!

huyo, sijui ni under age??

Angalia posts zake;

unapenda tu kuongeza idadi ya posts na vitu vya kutunga..siku utakuja na shida ya ukweli tutashindwa kukushauri vizuri. Jipange upya

Umemaliza thanx kwa kutenda vema kazi yetu na huyu tumemaliza kazi

Wewe kila siku una stori za wenzio tu...unafanya kazi gani hiyo...Nina wasi wasi...hebu angalia huo mtiririko...Hebu heshimu jukwaa, wengine ni baba au babu zako..

mpendwa kusema ukwel ninafanya kaz ya tax driver magomen hvyo huwa ikifika jion au nikiwa nimechoka huwa ninaweza kubadil kijiwe na kwenda kwngne hvyo kule ninapokwenda kupak ninakutana na wenzangu tofaut tofaut na siku nyngne ninaweza kupata day waka ya magar ya mzigo kwenda mkoan hvyo nikikutana na marafik zangu na kunawengne unaweza usiwaone cunajua kaz zetu hv hvyo ukifika hapo kama hayupo unamuulizia. Kama kakumbwa na maswaiba ndo wanakueleza. Asilimia kubwa huwa wananieleza mimi ni jins gan niwasaidie kutokana na kuaminika sana na huwa sina tabia ya kumwaga ukwel wa mtu na ndo mana unaona kila siku ni mimi na stor mpya sawa MPENDWA

Atapona mwambie aende moi kwenye mazoezi kidogokidogo atabadilika, na hana haja ya kutomwambia mkewe sababu yeye hakupanga itokee,na kumbuka kapata ajali kwenye mihangaiko ya kutafuta chapaa ili waishi kwa raha na huyohuyo mkewe, amefikiria vibaya tu, anaweza akamwambia na mpaka akashangaa mke atakavolichukulia

Alifanya kosa kubwa kumficha mke wake.

Tiba ya kwanza ni kumweleza mkewe ukweli wa kila kitu na baada ya hapo watafute tiba ya pamoja. Kwa vile aliumia kiuno, inaweza kutokea kwamba hatapona na kurudia hali yake ya kawaida. Mkewe ndiye mtu wa muhimu sana katika kusaka tiba ya ugonjwa wake. Kuendelea kumficha ni kujitafutia ugonjwa mwingine. Mwisho wa siku atajikuta anatibu kiuno wakati hata mke!

Wewe kila siku una stori za wenzio tu...unafanya kazi gani hiyo...Nina wasi wasi...hebu angalia huo mtiririko...Hebu heshimu jukwaa, wengine ni baba au babu zako..
Umesahau na ile ya kwenye daladala

Atapona mwambie aende moi kwenye mazoezi kidogokidogo atabadilika, na hana haja ya kutomwambia mkewe sababu yeye hakupanga itokee,na kumbuka kapata ajali kwenye mihangaiko ya kutafuta chapaa ili waishi kwa raha na huyohuyo mkewe, amefikiria vibaya tu, anaweza akamwambia na mpaka akashangaa mke atakavolichukulia

okay nitamueleza hvyo pia

Bwahabwahahahahaha! shigongo wakati mwingine anataka true story na ile "my confesion

hebu jaman 2ache masihara kaz ninayofanya na wa2 wanaonizunguka ndo wananipa haya na asilimia kubwa ni wa2 wangu wa karibu jaman jaman

huyo, sijui ni under age??

Angalia posts zake;

unapenda tu kuongeza idadi ya posts na vitu vya kutunga..siku utakuja na shida ya ukweli tutashindwa kukushauri vizuri. Jipange upya

kaka vip mbona kimya huwa sipend kuwa muongo mana ninaamin hapa ndo sehemu ya kupata ushaur kabisa mana kama nitakuwa ninafanya masihara na utan ninafikir wapo wengne ila haya yote niliyoyasema ni watu yamewatokea na mengne yamenitokea mimi mwenyewe kama lile na yule bint wa mdogo wangu na mwengne hvyo ninaamin hapa co sehemu ya kureta masihara wala utan. Kaz ninayofanya ndo inanipa changamoto kama hz. Na pia kuaminika kwangu ndo pananisaidia hv

Back
Top Bottom