Hasimamishi tena toka alipopata ajar nifanyeje?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
Habaree wanathinker ninaomba mmusaidie rafiki yangu huyu mana nimeshndwa kumpa ushaur mana cjui nimwambie nini? Ninajamaa yangu yeye ni mfanyabiashara wa kusafiri safir ameoa na anamke na watoto wawili. Mara ya mwisho anasema amepata ajal mkoan arusha ngaramton kwny bodaboda akavunjika kiuno. Na kutokana na biashara yake inamruhusu kukaa nje muda mrefu akaenda kutibiwa akiwa amekaa kwa anko wake huko huko arusha mpaka akapona baada ya miez miwili. Ila hakumwambia mkewe jambo hili. Sasa kivumbi kinakuja amerud na mkewe anataka hak yake ya ndoa na jamaa anamzuga mpk sasa yapata wiki. Je wanathnker msaidien afanyeje mana anaogopa akimwambia mkewe anaweza kumuacha. Wanathnker msaidien analia wakat ananieleza haya
 
Hio issue ni kubwa sababu ana mke.. Na inakua ngumu zaidi ukizingatia ni mda mrefu hajampatia haki yake mkewe. Inatakiwa awa consult wataalam katika hio sector lakini first step ni bora amwambie mkewe maana unaweza kuta itachukua mda kurudi katika hali yake ya kawaida... Na najua si kitu tunachorabu kujibu but ni ajabu saana kuficha kitu kama ajali mbaya kama hio kwa mkeo... Just curious nashindwa kuelewa...
 
kusema ukwel hata mm nimeshndwa hapo kuelewa kwann haja mwambia mkewe na nimuda mrefu yan hapo ndo niliposhndwa kuelewa nisemeje
 
Mkewe ndie msaidizi ndani ya nyumba anaogopa nini kumwambia mkewe tatizo lake? hajiamini mwambie amwaleze mkewe asijipe majibu mwenyewe
 
Yaani anaumwa miezi miwili bila mkewe kujua? Kha?! Hiyo ndoa ina mushikeli mkubwa mno wakati wengine tukiumwa hata ka kichwa kidogo tu tushatoa taarifa sembuse kiuno?!
 
olalaaaaa kibofyeo cha senks na likes kimepotea,senks DA.
 
Mkewe ndie msaidizi ndani ya nyumba anaogopa nini kumwambia mkewe tatizo lake? hajiamini mwambie amwaleze mkewe asijipe majibu mwenyewe

upo sawa kabisa lakn anajaribu ni namna gan atakavyopata ushaur kabla haja mueleza mkewe ni suala zito sana
 
kama anaogopa kumwambia mkewe aendelee kubaki na tatizo, tena mwambie asikuombe ushauri. Anajua anachoumwa huyo. Wala sio hiyo ajali. Sijaona mtu(mume) anapata tatizo then anamficha mkewe.
 
Mbona ingebidi mkewe ndo awe mshauri wake namba moja? Huyo mkewe ana nini mpaka anaogopa kumshirikisha?
 
Yaani anaumwa miezi miwili bila mkewe kujua? Kha?! Hiyo ndoa ina mushikeli mkubwa mno wakati wengine tukiumwa hata ka kichwa kidogo tu tushatoa taarifa sembuse kiuno?!

kaka hata mm nilimuuliza juu ya hili akasema wenzie walimshaur asimwambie mana atamtisha alafu hata hvyo yeye anasema mkewe anaweza azima ghafla
 
Hapa ushauri hakuna kafanya ujinga toka mwanzo kwanini hakumwambia mkewe kapata ajali na nani alimuhudumia muda wote huu kaniudhi sana ngoja nitoke zangu kha!
 
kama anaogopa kumwambia mkewe aendelee kubaki na tatizo, tena mwambie asikuombe ushauri. Anajua anachoumwa huyo. Wala sio hiyo ajali. Sijaona mtu(mume) anapata tatizo then anamficha mkewe.

sawa kabisa ninakubaliana na wewe ila mh!
 
kaka hata mm nilimuuliza juu ya hili akasema wenzie walimshaur asimwambie mana atamtisha alafu hata hvyo yeye anasema mkewe anaweza azima ghafla
<br />
<br />
Murefu tafadhali mie sio kaka mie ni mama wa watoto na baba yao
 
Hapa ushauri hakuna kafanya ujinga toka mwanzo kwanini hakumwambia mkewe kapata ajali na nani alimuhudumia muda wote huu kaniudhi sana ngoja nitoke zangu kha!
DA ndo mana mimi nasema hapa kuna zaidi ya ajali, upate ajali umfiche mkeo why jamani?
 
Mbona ingebidi mkewe ndo awe mshauri wake namba moja? Huyo mkewe ana nini mpaka anaogopa kumshirikisha?

anachodai anampenda sana hvyo hatak kumshtua na anawasi wasi akimshirikisha anaweza kumuacha ndo mana anaogopa hilo
 
Back
Top Bottom