Hashycool, AD, Michelle, TF, Asprin, Kloroquine and the team

Unampenda mchezaji gani wa Arsenal sana???utakuwa umenisaidia ukinipa jina lake.....:coffee:

dah!! Kusema ukwel cjui niseme nan kat ya hawa wa4 mana ninaweza kusema walcot,nasri,song,fabrigas yan cjui ni nan zaid ila wa ukwel kuliko wote ninampenda wenger baba wa timu yan dah! Cjui kama nitakuwa nimekurahsishia au la!
 
umenirahisishia,ngoja nakutumia chaguo langu.....cheers!
 
Dah...... Cant find myself on the list!!:A S 20::A S 20:

Smiles nadhani hatujafahamiana na wewe hao niliowataja wamekuwa na mimi tangu day one naingia humu JF na wamekuwa na mchango mkubwa sana kwangu na kuleta maana hasa ya uwepo wangu hapa JF. Usife moyo kuna mengi mazuri yanakuja na wewe utakuwamo InshaAllah itategemea na jinsi unavyoshirikiana na sisi.
 
we mbona mie siko kwenye list
hii list ya uongo hahahahah lol
shikamoo dada...lol

Hao ni walionipa thanks sijui kwanini wewe na muzee hamkunigongea senks umeshindwa hata na mtani wangu wajadi, hasimu wangu mkuu kama simba na yanga Hashycool lol

The Following 9 Users Say Thank You to Mohammed Shossi For This Useful Post:

afrodenzi (Today), CPU (Today), Dena Amsi (Today), hashycool (Today), Kaizer (Today), klorokwini (Today), mpevu (Today), The Finest (Today), VoiceOfReason (Today)​
 
can i get you into mine?
Please.................

Smiles nadhani hatujafahamiana na wewe hao niliowataja wamekuwa na mimi tangu day one naingia humu JF na wamekuwa na mchango mkubwa sana kwangu na kuleta maana hasa ya uwepo wangu hapa JF. Usife moyo kuna mengi mazuri yanakuja na wewe utakuwamo InshaAllah itategemea na jinsi unavyoshirikiana na sisi.
.......nilikuwa on silent support!!:coffee:
 
Hao ni walionipa thanks sijui kwanini wewe na muzee hamkunigongea senks umeshindwa hata na mtani wangu wajadi, hasimu wangu mkuu kama simba na yanga Hashycool lol

The Following 9 Users Say Thank You to Mohammed Shossi For This Useful Post:

afrodenzi (Today), CPU (Today), Dena Amsi (Today), hashycool (Today), Kaizer (Today), klorokwini (Today), mpevu (Today), The Finest (Today), VoiceOfReason (Today)​

mie nimekupa bwana tena mbili hahahahah lol
The Following User Says Thank You to Mohammed Shossi For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
Mohammed,
Pamoja daima mkuu, 2geza jukwaani kaka!!

Kama kawa kaka, aibu yao aibu yetuuu.....................
Naona matokeo ya kidato cha nne yamekufanya urudi kwenye kilimo kwanza mkuu, nakutakia kila la kheri lol
 
Ha ha haaa, nimerudi mkuu kwenye 'slogan' ya mtoto wa mkulima KILIMO KWANZA..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom