Hashycool, AD, Michelle, TF, Asprin, Kloroquine and the team

mmmhhh kama kiuno na ....haya kaka.....vipi wifi mmewasiliana???

Wifi yako alifika salama lakini sijapata habari jana na leo amefikia vipi mambo yake, dua zenu InshaAllah Mungu amfanyie wepesi na amponye ugonjwa wake.
 
Unajua MUREFU wewe ni mchizi wangu wa ukweli.....na vile wote ni wapenzi wa ARSENAL naomba tu nikuambie mimi hiyo avatar siipendi na ninaigopa inanitisha......japo ina nembo ya ARSENAL......nipe kazi ya kukuchagulia nyingine au unisaidie kubadili.....Pamoja sana wangu!!!!

khaaa..! We mtoto wa kike kilaki2 hutaki haya nichagulie bac 2one ila mbona ipo poa
 
khaaa..! We mtoto wa kike kilaki2 hutaki haya nichagulie bac 2one ila mbona ipo poa

Kipo ninachokitaka wewe hujataka kujua nataka nini tu......unapenda avatar za wanyama au watu??? sema nianze hiyo kazi......:twitch:
 
Unajua MUREFU wewe ni mchizi wangu wa ukweli.....na vile wote ni wapenzi wa ARSENAL naomba tu nikuambie mimi hiyo avatar siipendi na ninaigopa inanitisha......japo ina nembo ya ARSENAL......nipe kazi ya kukuchagulia nyingine au unisaidie kubadili.....Pamoja sana wangu!!!!

Samahani sister kwani wewe una asili ya kisomali? hiyo team inapendwa sana na wasomali yaani kule somalia ukionekana upo sijui man u wanaweza hata kukualshabab.... Well its good kuwa timu tofauti na nduguyo ili kuweza kuleta utani wa hapa na pale mie nipo REDS dada yangu.
 
Mohammed Shossi we ni noma, itabidi upewe tuzo....umeingia Jan 2011 na tayari unakaribia kufikia post 1,000.

Ahsante sana makandokando japo ni mara yangu ya kwanza kukuona ila naamini na wewe utakuja kuwa mmoja wa machizi wangu maana hata kwenye thread ya list ya magreat thinkers ninaowafeel sikukuweka nimefurahi kufahamiana na wewe.
 
Baada ya kumaliza zoezi la kugawa vyandarua kila kaya tukae mkao wa kupokea maboxi ya condom kila kaya teh teh teh hivi hizo chandarua kina TF wazee wa ulabu wamepewa vya kwenda navyo kwenye mabaa? Maana pale Rose Garden kuna mbu balaa.......................
Ukienda baa mzee siku hizi muhudumu akikuletea bia anakuja pia na chandarua unaambiwa ni KWA HISANI YA WATU WA TBL
 
Kipo ninachokitaka wewe hujataka kujua nataka nini tu......unapenda avatar za wanyama au watu??? sema nianze hiyo kazi......:twitch:

unajua ukiambiwa unachaguliwa inabid ukubal kama mgen ugenini mana ukisema ninapenda ki2 furan kama hakipo utapewa kilichokuwepo wewe weka utakacho kiona unakipenda unasemaje ilimrad kivutie
 
unajua ukiambiwa unachaguliwa inabid ukubal kama mgen ugenini mana ukisema ninapenda ki2 furan kama hakipo utapewa kilichokuwepo wewe weka utakacho kiona unakipenda unasemaje ilimrad kivutie

Nikutumie wapi sasa?? kwa PM au kwa email yako???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom