Hashycool, AD, Michelle, TF, Asprin, Kloroquine and the team

dah senks mchizi, kwa ulivyonipaisha. aisee mbona wewe pia uko juu sana. acha niwashtue machizi waliotajwa kwenye hii sredi tukupigie debe wakupe u mod (only if interested).

Daaah! Mi naona kuna haja ya kumtoa madarakani Robot kwa maandamano tufanye uchaguzi upya tumchague Shossi
Robot kakaa madarakani tangu JF inapata Uhuru
Lazima ang'oke kwa maandamano
:msela:
 
Daaah! Mi naona kuna haja ya kumtoa madarakani Robot kwa maandamano tufanye uchaguzi upya tumchague Shossi
Robot kakaa madarakani tangu JF inapata Uhuru
Lazima ang'oke kwa maandamano
:msela:

sawasawa mkuu, endelea kukipaka tu. wakikuban nitakuanzishia sredi wakufungulie.
 
Ma-Comrade
Nilipata udhuru kidogo nikawa nahangaika na dowans sikuonekana hapa kitambo
Samahanini sana
Nimeshanunua Genereta aina ya Rustom Adhidhi sasa mambo safi
 
Daaah! Mi naona kuna haja ya kumtoa madarakani Robot kwa maandamano tufanye uchaguzi upya tumchague Shossi
Robot kakaa madarakani tangu JF inapata Uhuru
Lazima ang'oke kwa maandamano
:msela:

Naona unapasha kwa ajili ya maandamano, well mie nipo tayari lakini nitakuwa nyumbani nawaangalia kwenye TV JF Moderator akiwapiga virungu teh teh teh teh
 
Haya jamani wale wa sala sala kijiwe samli bom bom mpaka vituka..........mpo????????
 
Inabidi lakini ujitume maana jana kwenye pitapita zangu kuna mdada nimeona kaweka signature " I love you The Finest" kumkagua nikakuta kajichora picco mikononi na miguuni kaandika makopakopa kibao na jina la shemeji yangu The Finest.

Sante sana dear
Kuna mtu kani pm kuhusu hilo dear..
Nimefurahi kusikia kutoka kwako pia
simfuatiliagi ndo maana yake
yey e alijua penzi langu juu yake
 
Ma-Comrade
Nilipata udhuru kidogo nikawa nahangaika na dowans sikuonekana hapa kitambo
Samahanini sana
Nimeshanunua Genereta aina ya Rustom Adhidhi sasa mambo safi

Nah ni Rusthum Ardhini isome vizuri mkuu
 
Ankal nataka ku- REPORT ABUSE kwa sababu posti yako unataka ikae juu ya AD
sikuwa na nia mbaya , ni kwavile AD anasumbuliwa na kichwa, so klorokwini ikikaa juu , kichwa kwishney.

off post advice: UKIMWI unauwa jamani tupunguzeni PM
 
Sante sana dear
Kuna mtu kani pm kuhusu hilo dear..
Nimefurahi kusikia kutoka kwako pia
simfuatiliagi ndo maana yake
yey e alijua penzi langu juu yake

WEWE NI MKE MWENYE BUSARA
The Following User Says Thank You to afrodenzi For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Angalia vizuri labda bahati mbaya nimeiweka without bold my dear.

haya bwana nashukuru kunijumlisha japo baada ya kuedit, manake ile oriino ilikuwa kama hapo chini. peace alwayz dear. happy weekend

Originally Posted by mohammed shossi
nyie ndio machizi wanguuuuuuuuuuuuuuuuuu............................ ...................

the one and only nilham rashed, the finest, afrodenzi, hashycool, x-paster, michelle, husninyo, voiceofreason, dena amsi, mpevu, dreamliner, baba mtu, genekai, cpu, mr. President, ivuga, klorokwini, mwera na mzee mwanakijiji.

youtube - nako 2 nako - mchizi wangu remix
 
Haya jamani wale wa sala sala kijiwe samli bom bom mpaka vituka..........mpo????????

I am out Jumaa Lkareem To all of you home tukishuka ijumaa tu huwa tunagonga Biriani na Healtho au Sharubati karibuni machizi wangu..........
 
haya bwana nashukuru kunijumlisha japo baada ya kuedit, manake ile oriino ilikuwa kama hapo chini. peace alwayz dear. happy weekend

Na baada ya kuedit sikukuweka mwisho my dear kwa kujua umuhimu wako kwetu sote au sio The Finest and the team?
 
sikuwa na nia mbaya , ni kwavile AD anasumbuliwa na kichwa, so klorokwini ikikaa juu , kichwa kwishney.

off post advice: UKIMWI unauwa jamani tupunguzeni PM

Hivi uki-PM mtu unaupata basi kuanzia leo naacha PM lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom