Hashim Lundenga ni mbinafsi wa kutupwa

Mkorosai

Member
Nov 17, 2010
65
0
Hashim Lundenga ameingia mkataba mpya na Vodacom na kulipwa zaidi ya milioni 200 kama malipo ya kununua shindano la Miss Tanzania liitwe Vodacom kuanzia ngazi za vitongoji hadi Taifa. Hivi sasa kuna mvutano mkubwa kati yake na waandaji wa mashindano hayo ngazi ya kanda na mikoa hasa wale wa kanda za Dar es salaam ambao walikuwa wameingia mkataba na Redds Premium, na kuyaita mashindano yao kuwa ni Redds Miss Kinondoni, Redds Miss Ilala na Redds Miss Temeke kwa miaka mitatu iliyopita.
Lundenga amekunja milioni zote hizo n a bado anakusanya ada ya kuanzia Shilingi laki tano hado Shillingi Milioni moja moja kutoka kwa mawakala wake wote nchi nzima. Halafu hiyo haitoshi anawabana mawakala wake wasivute chochote kutoka Redds Premium!!!!
Huu ni ubinafsi wa kupitiliza na ulafi usio na kifani.
 
kama unachsema ni cha kweli, huyo bwana ana ushirika na Rostam, chenge, Lowasa, karamagi nk. Ama kweli nchi hii.........!!!!!
 
Kweli bado sijaujua mwisho na aina za ufisadi maana, huu ugonjwa kama hiv vile
 
yeye ni mbinifu mzee alianzisha miss Tz kupiti Reno Intl Agency mwache ala chake. Hizi fikra wahindi,wakenya wazungu etc hawana za ujamaa na ndio maana unasikia kina Ambar,Odinga,Branson ni matajiri lazima utajirike kwa expense ya others who are laymens. Badilika kimtazamo usije ukawa kama malecture wa Kampala intl univ. dsm campus wamesign wenyewe mkataba kwa nia sasa wanaona wenzao wakenya na wauganda wanafaidi.
 
Hiyo ni biashara mkuu- kinachoangaliwa ni profit maximization hakuna cha utu kwenye masuala hayo!
 
Afadhali angeishia hivyo kuchukua hela zao na kusepa kuliko uchafu anaoufanya kutembea na vibinti vinavyotaka kugombania umiss huku akivihaidi ubingwa na kuwauza kwa ma predeshe...lundenga aka mjomba nilikupa live bagamoyo enzi za kina wema sepetu mjomba hii laana aitokuacha..naona inazidi kukuchafua...wale mabinti uluvyowauza bagamoyo sitokushau ndipo nilipojua nini maana ya umiss..nilishukuru kampuni kwa kunipa training mitaa ya uko nione mengi..loh!!u miss ata awe mamako mkane..biashara chafu atari
 
after all haya mashindano miss xxx yana faida gani kwa taifa?
 
...kwani mwenye haki miliki ya hii Miss Tanzania hapa nchini ni nani, kama ni yeye Lundenga mie sioni tatizo hapo
 
yeye ni mbinifu mzee alianzisha miss Tz kupiti Reno Intl Agency mwache ala chake. Hizi fikra wahindi,wakenya wazungu etc hawana za ujamaa na ndio maana unasikia kina Ambar,Odinga,Branson ni matajiri lazima utajirike kwa expense ya others who are laymens. Badilika kimtazamo usije ukawa kama malecture wa Kampala intl univ. dsm campus wamesign wenyewe mkataba kwa nia sasa wanaona wenzao wakenya na wauganda wanafaidi.

Naomba ufafanuzi wa maneno niliyo-bold kwa read colour.....Im some how interested to know.......
 
Hashim Lundenga ameingia mkataba mpya na Vodacom na kulipwa zaidi ya milioni 200 kama malipo ya kununua shindano la Miss Tanzania liitwe Vodacom kuanzia ngazi za vitongoji hadi Taifa. Hivi sasa kuna mvutano mkubwa kati yake na waandaji wa mashindano hayo ngazi ya kanda na mikoa hasa wale wa kanda za Dar es salaam ambao walikuwa wameingia mkataba na Redds Premium, na kuyaita mashindano yao kuwa ni Redds Miss Kinondoni, Redds Miss Ilala na Redds Miss Temeke kwa miaka mitatu iliyopita.Kwanza Hashimu hatauona ufalme wa mungu anawakalisha watoto wa wenzake uchi majukwaa
Lundenga amekunja milioni zote hizo n a bado anakusanya ada ya kuanzia Shilingi laki tano hado Shillingi Milioni moja moja kutoka kwa mawakala wake wote nchi nzima. Halafu hiyo haitoshi anawabana mawakala wake wasivute chochote kutoka Redds Premium!!!!
Huu ni ubinafsi wa kupitiliza na ulafi usio na kifani.

Kwanza hashimu lundenga hatauona ufalme wa mungu. Anawakalisha watoto wa wenzake uchi majukwaani, kisa pesa!!!!!!! Wa kwake atakubali aje pale avae vuchupi. Mimi sipendi sipendi, sipendi, sipendi
 
Back
Top Bottom