mkuu kwa ushauri huu nyie ndio mtamchimbia dogo kaburi......H.T kadhihirisha ana deserve a shot in the NBA by merit. Mi naamini kocha amzimii tu dogo, na kama mfatiliaji wa NBA unajua showtime counts and he aint gettin that. Dogo kathibitisha aliposhushwa D league his talents are unquestionable.
It is just that 'plays' in memphis are not centred round dogo and memphis are not concerned in exploiting his talent. lakini si amini hata chembe kama H.T is that bad, only he is playing under a coach who doesnt rate him personally.
mie naona dogo HT anahitaji maombezi ya kakobe......yeye muda wa kama alivyofanya Yao yeye anakula bata na vimeo kama jokate na kugombana na TID.....kusema ukweli dogo anahitaji kujifua zaidi....Duh, naona kama ume-confirm niliyosema na umejijibu mwenyewe tena kwa maelezo murua. Kama huonyeshi kitu mazoezini, na umeshasema hii ni biashara whoz going to give you time to play ? Sio chuki these people are in business, sasa ulitegemea kocha aseme nini ?
Hawezi kuwa part of any big picture, hata Israel au Angola. Anahitaji kujifua sana. Niliandika sana ktk thread nyingine on the same subject, na nikatolea mfano wa Yao. Kama ulifuatilia, Ming alikuwa mchovu, anarusha mpaka free throw airball, lakini alijifua sana off season, na akapikwa na akina ewing, na ulione makali yake later. You have to invest, off season na later ndo utavuna sio kutegemea ungongoti tuu, na hao wapambe ambao walikuwa wameshamchagulia aina za magari ya kununua, sijui nyumba, madem ect....!
Kaka,mkuu kwa ushauri huu nyie ndio mtamchimbia dogo kaburi......