Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Chaaaaa!...atleast kapata visenti vyake na kama mjanja kadivert risks kwa kuinvest multiple projects...
Na kubwa zaidi, katengeneza history ambayo si ajabu inaweza kuchukua zaidi ya miaka 10 asitokee mwingine... acha NBA iitwe NBA bhana! Na bado ana uwezo wa kuishi kwa basketball kwa angalau miaka 3 zaidi ikiwa ataamua kutafuta opportunity popote ilipo... hata kama ni Angola League!
 
Hapo sasa tupo pamoja kama kuna possibility ya kuingia tena azidi kujifua tu mungu anamuona

Na kama ikishindikana kurudi NBA aache kung'ang'ania, manake zile interview zake ndizo nazoziogopa Mkuu! Jamaa inaonesha kama NBA hawamchukui haendi timu nyingine yoyote, hilo tu ndio shida!
Hilo la kusema haendi popote lisikusumbue cuz' it's a matter of time. Unajua mwaka jana alipata average mzuri kumwezesha kurudi NBA; sasa katika mazingira kama yale; yeyote angejiambia, "YES, hapa hapa wacha nikaze zaidi na huenda nikafanya vizuri zaidi ya hapa!" Na ndio maana ili kukazia, akajiunga na hizo training camps! Lakini unless kama amewekeza vya kutosha lakini itafika wakati lazima atageukia ligi zingine ametaka asitake!
 
Unafanania na ID yako...


Fuatilia history ya NBA Draft then uje tena kunieleza yako ya moyoni. Wataalam wote wanamponda ila wewe tu mtaalam uchwara ndiyo unamuona anafaa na ndiyo maana mwenzio hana timu yupo yupo tu hajielewi.
 
Fuatilia history ya NBA Draft then uje tena kunieleza yako ya moyoni. Wataalam wote wanamponda ila wewe tu mtaalam uchwara ndiyo unamuona anafaa na ndiyo maana mwenzio hana timu yupo yupo tu hajielewi.
Cra'p!
 
Wabongo kwa majungu..alichezea shilingi kivipi!?..tunachojua aliumia taya na baada ya hapo hakuwa na kiwango kile tena
 
Back
Top Bottom