Hasheem Thabeet in D-league AGAIN!

roho ya korosho:lol:

sasa wewe mwisho wa roho ya korosho ni nini kama sio kuwa mshirikina??????
kama tunaongoza kwa roho ya korosho basi na ushirikina pia tunaongoza..
wachawo wote wana roho ya korosho and vice versa...

shosti hebu kajibu swali kule thread ya waarabu wa kariakoo kwenye mirungi...
 
unataka kwenda au:lol::lol::lol:
 
Hii kali eti kuna nguvu za giza, baadhi ya hao washauri wa Hasheem wako humu JF nina uhakika ujumbe watamfikishia ujumbe kama wanamtakia mema.
 
Seriously

Mashauri wake mkubwa ni Mange Kimambi wa U turn

jamaa kila kukicha yuko minazi mirefu na kasahau kuwa watu wengine wana macho mabaya

halafu mambo ya kuishi na mama na ile crew nzima nayo nishai

Does this guy really need baby sitting au bas tuu ndio utoto wa mama?
 
hao washauri wa Hasheem wako humu JF nina uhakika ujumbe watamfikishia ujumbe kama wanamtakia mema.
"Washauri" wa Hashim ni bora hata huyo Hashim, hebu watafute U tube utawaona.

Hashim hakuwahi kupata kampani nzuri toka mwanzo, lakini mwisho wa siku kosa ni lake mwenyewe, Hashim mwenyewe ndio anachagua wapambe, aliona vile vi niga feki ndio vinamfaa akaviteua vimfate nyuma kwa sababu yeye mwenyewe ndio dizaini zile.

Wewe una struggle uwanjani halafu kocha anakuona U Tube una rekodi ki mziki umezungukwa na vi rapper vya uongo na kweli, kwa nini asiku drop? Tabia ya Hashim imechangia.
 
simlaumu sana dogo, hii inatokana na chakula na aina ya mazoezi ya utotoni,NUKTA!!!
 
Back
Top Bottom