Hasheem Thabeet atema cheche kwa St Antonio

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,885
6,885
4562.jpg

Katika michezo ya awali ya kuanza ligi ya NBA nchini Marekani, Hasheem Thabeet ameonyesha dalili za kuanza kuimarika baada ya kucheza kwa dakika 4:20 na kuweza kutumbukiza mpira kikapuni mara tatu bila kukosa na hivyo kuvuna pont 6 zilizosaidia Houseton Rocket kuisambaratisha St. Antonio kwa point 105 dhidi ya 85 za St. Antonio.

Alicheza kama mchezaji wa bench na si kama starter. Ni dalili nzuri akiendelea kukaza buti.

Houston

StartersPosMinFG3PtFT+/-OffRebAstTOStlBSBAPFPts
K. Lowry(notes)G27:185-102-44-4+260981300116
K. Martin(notes)G23:4010-174-81-2+190131011125
J. Hill(notes)C20:322-40-02-3-1270100156
L. Scola(notes)F29:259-120-00-0+283532110218
C. Budinger(notes)F18:011-30-20-0+17020000002

BenchMinFG3PtFT+/-OffRebAstTOStlBSBAPFPts
Totals43-859-2610-131346211178717105
Percentages.506.346.769Team Rebounds: 5
T. Williams(notes)22:072-42-20-0+4031200036
C. Lee(notes)21:534-101-50-0+6031111109
G. Dragic(notes)20:423-100-30-0-6013011226
S. Dalembert(notes)20:171-30-02-2+13470014034
C. Parsons(notes)16:342-50-21-2+3250100105
J. Flynn(notes)8:060-00-00-0-3002200000
M. Morris(notes)7:061-40-00-0-3110000102
H. Thabeet(notes)4:203-30-00-0-3120000006
J. Adrien(notes)DNP - Inactive
P. Patterson(notes)DNP - Inactive
 
Andelee kukaza msuli, asijisahau na kuridhika haraka haraka
 
Labda amekua sasa ataacha ujinga na utoto...kila siku yuko counter ya bills kujionyesha....akifanya mchezo atarudi aje awe "mpambe wa Darba" au awe muigizaji!!!
 
4562.jpg

Katika michezo ya awali ya kuanza ligi ya NBA nchini Marekani, Hasheem Thabeet ameonyesha dalili za kuanza kuimarika baada ya kucheza kwa dakika 4:20 na kuweza kutumbukiza mpira kikapuni mara tatu bila kukosa na hivyo kuvuna pont 6 zilizosaidia Houseton Rocket kuisambaratisha St. Antonio kwa point 105 dhidi ya 85 za St. Antonio.

Alicheza kama mchezaji wa bench na si kama starter. Ni dalili nzuri akiendelea kukaza buti.

Houston

StartersPosMinFG3PtFT+/-OffRebAstTOStlBSBAPFPts
K. Lowry(notes)G27:185-102-44-4+260981300116
K. Martin(notes)G23:4010-174-81-2+190131011125
J. Hill(notes)C20:322-40-02-3-1270100156
L. Scola(notes)F29:259-120-00-0+283532110218
C. Budinger(notes)F18:011-30-20-0+17020000002

BenchMinFG3PtFT+/-OffRebAstTOStlBSBAPFPts
Totals43-859-2610-131346211178717105
Percentages.506.346.769Team Rebounds: 5
T. Williams(notes)22:072-42-20-0+4031200036
C. Lee(notes)21:534-101-50-0+6031111109
G. Dragic(notes)20:423-100-30-0-6013011226
S. Dalembert(notes)20:171-30-02-2+13470014034
C. Parsons(notes)16:342-50-21-2+3250100105
J. Flynn(notes)8:060-00-00-0-3002200000
M. Morris(notes)7:061-40-00-0-3110000102
H. Thabeet(notes)4:203-30-00-0-3120000006
J. Adrien(notes)DNP - Inactive
P. Patterson(notes)DNP - Inactive

kazi anyo huyu sharobaro wa namanga
 
kazi anyo huyu sharobaro wa namanga

Labda hujatambua ushindani wa mchezo huo Marekani, kiwango alichocheza siku hiyo na kutumbukiza kapuni mirusho mitatu iliyozaa point 6 kwa dakika nne si lele mama. Akijitahidi kuweka wastahi huo ni kiwango kizuri cha kumweka pazuri, Kumbuka siku hiyo amekuwa na rebound 2 pia ambayo ni moja ya nafasi ya yeye anayotazamiwa kutokana na uwezo wa urefu wake kufikia mipira inayorudi, na kuna wachezaji wanasajiliwa kwa ajili hiyo. Yule Mzaire sifa zote alizopata si kutumbukiza mipira kikapuni, bali kudaka mipira ya rebounce.
 
Back
Top Bottom