Hasheem Thabeet agonga bajaj, amshushia kibano kitakatifu dereva

Mzalendowetu

Member
May 22, 2012
87
34
Hasheem Thabit, mtanzania mwanamichezo mwenye mafanikiozaidi Tanzania, amegonga Bajaj. Ni kwamba alikuwa akijaribu kuipita gari iliyombele yake, bila kujua kumbe mbele ya hiyo gari kulikuwa na bajaj ndipoakalazimika kurudi upande wa kushoto ambao bajaj ilipo na kuigonga. Alijaribukukimbia lakini alipofika Kijitonyama kwenye mataa ya Sayansi alikwama kutokanana foleni. Dereva wa bajaji aliposhuka na kuanza kumhoji Hashim nikwa nini amemgonga na ni vipi Hasheem atalipa fidia kwa uharibifu wa bajajaliosababisha, cha kushangaza, star huyo alishuka na kuanza kumpa ‘kibano’dereva wa bajaj kwa kumpiga mitama ya kiutu uzima. Nakumbuka mwaka 2010 Hashim alishawahikuzikunja kavukavu na TID wakiwa Bilicanas.Ndugu zangu, huu si ustaarabu hata kidogo. Pia, ni aibu nafedheha kubwa kwa mtu maarufu kama Hasheem kwa vitendo anavyovifanya. Naaminikabisa star huyu alikuwa na uwezo wa kumalizana na huyu mwendesha bajaj bilahata kujichukulia sheria mkononi hasa ukizingatia yeye ndiye alikuwa mwenyemakosa. Kwa picha nahabari zaidi, tembelea Source: www.sethought.blogspot.com


 
no wonder he is struggling in the NBA, badala ya kubaki us akijiuliza kwa nini anastruggle kwa NBA na kutrain hard kakimbilia bongo kutanua! maskini akipata ****** hulia mbwata!
 
  • Thanks
Reactions: kui
kama ni kweli huyu Bwana amekosea sana.. anapaswa awaombe radhi hata mashabiki wake.
 
Dah!! Limbukeni huyu jamaa, anamuonea bure mlalahoi wa watu, I hope sheria itachukua mkondo wake,


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Wachezaji nba wengi wanaotoka nchi ambazo basketball facilities and training zipo chini huwa wanabaki america for work out and trainings, al faruq aminu anatoka iran but usa respect him a lot no matter what's goes on btn iran and america, deng, serge ibaka, emeker okafor na wengineo wanaotoka africa wapo usa for trainings but ndugu yetu hasheem yupo bongo kuuza sura savanah na billz, yaani mtu una annual income around 20 billions but bado una akili za kijinga, mtu kama huyo wa bajaj unamsamehe tu na kumpiga na mwekundu wa msimbaz sio kwa fimbo
 
mwacheni jama anaipenda bongo. Na inawezekana dereva wa babaji alitoa maneno ya ajabu. Inawezekana pia alitaka kum bllackmail
 
Huyo mwendesha bajaji nae mbona hakuomba nguvu ya umma imshughulikie huyo hashimu?
 
Kwanini asitiwe adabu kama TID, pesa zake apeleke mbele lakini aheshimu kazi za wenzake.
 
Back
Top Bottom