Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika/Tanzania ikiwa Wa Zanzibari watajitenga

Asilimia 99 zanzibar ni waislamu,na zanzibar ina culture yake na mila zake,ukiangalia zanzibar yapo makanisa,asilia moja tulionayo ya christian basi hawajai hayo makanisa tulonayo toka hapo awal kabla ya mapinduzi,makanisa munayotujengea hapa zanzbar hayana viwango na wala hamuna vibali,pia ardhi yetu ni ndogo sana,na kama munavyojua makanisa wanachukua heka,jengine zaidi katiba yetu inasema mtanganyika haruhusiki kumiliki ardhi zanzbar,kutokana na ardhi yetu ni ndogo,hata katiba ya muungano kipo hicho kipenge.

Kuna sheria zipo hapa zanzbar ambazo za umiliki wa ardhi lakini zimekuwa zikivunjwa,na hili ni kosa la serikali ambayo iliyokuwepo hapo awali ilishindwa kulifuatilia na ndio wananchi wameona sasa wachukue hatua mikoni mwao,,,, sema jengine /

Akili yako ni ndogo weye, wee huelewi kwamba baadaye zenj itazama na kubakia stori?
 
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.

Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!

dubai na hongkong unakosomea kuna makasino, malaya wa kumwaga, pombe znanyweka kwa wingi na burudani kbao, we ushangai akina twanga pepeta daily dubai na c iran,,free port ndo mtakaribisha hayo mambo
 
Waongo hao huku hatutaki huku wala kiulaini!
Wamuombe Mnyaa na Arashidi wapeleke hoja BINAFSI Bungeni ya kuuvunja muungano huu wa kisanii. tena leo muache bla bla tumesha wachoka ila hamjui tu. ýí£$ím$ß zeönæ.

Hivi kwanini Bunge la muungano lenya takriban zaidi ya 80% wabunge wa tanganyika lisijadili hoja hii ya muungano. Na nyie Chadema mnasemaje hapo.

Wa Znz hatuutaki muungano na nyie Bara mlilie Serikali yenu ya Danganyika
 
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.

Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!

Hizi ni ndoto za macha kwa mtoa hoja, vunjeni muungano maana tushawachoka.
Wazenj wengi wanatabia ya uvivu kupindukia.
Hivi tabia ya kwenda markiti na kuacha kazi mmeiacha?
1)Wazenj wamezoea VYA KUPEWA BURE, huko OIC viko vingi sana mkivunja muungano mtavipata!
2)Ushuru sijui mtaukusanya vipi wakati magwiji wa kuukwepa ndo ninyi wenyewe, na kuonyesha kuwa mtoa hoja anaota, mali mtakazo ingiza Zenj bora mzile wenyewe na zisiingie bara
3)Dhana ya freeport haiji kwa kuota-ITS ONLY HARD WORK that counts, kitu ambacho Zenj hakipo!
4)Vipi ile mila ya UTWANA NA WAUNGWANA ambayo kimsingi ndiyo mila ya Zenj ndo mtaifurahia au sivyo?
5)Kazi kubwa wanayoiweza wazenj wengi ni uchuuzi na kukaa nyuma ya fremu, tunawatakia kazi njema ili mwenye duka mmoja amuuzie mwenzake!
6)Kiboko yenu alikuwa Mzee Abeid Karume, siasa za kuolewa waarabu kwa lazima zitarudi tu!!
Nawatakia maisha mema bila muungano.
 
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.

Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!

Sijakuelewa Zanzibar hawafaidiki na madini kivipi? Pesa si inaingia Serikali kuu na Wizara zinahudumiwa na mapato hayo? Makamu wa Raisi na Wanzanzibar wengineo wengi tuu waliopo kwenye Serikali ya Muungano mishahara yao inalipwa kutoka Zanzibar au ni haya haya makusanyo ya huku bara? Umeme unaopelekwa Zanzibar kwa bei ambayo iko chini ya gharama ya uzalishaji pesa ya kulipia hiyo tofauti inatoka wapi kama si hayo makusanyo ya huku huku bara?

Mwisho hayo mafuta yakipatikana na Marekani/Mwingereza wataanzisha vurugu kama Libya hivyo kubaki kwao ndani ya Muungano ni ahueni kuliko kujitenga
 
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.

Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!
Hakuna hasara hata moja

wanakula umeme, wanakula hadhi ya nchi kumbe ni wilaya ya Geita tu, tutapunguza akina yakhe ambao kazi yao ni kupisha yeshe hata kama ni serious

In fact tutajijenga kama watanganyika na siasa za kiswahili zitakufa

ikiwezekana waondoke na Tanga, yao kabisa tupunguze uvivu:lol:
 
Lakini pia kuna mafaida kibao.kama permission ya kufanya kazi za wapemba woote walioko kwetu.Umeme sasa mtaanza kulipia na sio kupewa bure . hata huko dubai anakokusifia kuna ushenzi mwingi pamoja na huo wa pombe madanguro na madawa ya kulevya.Aisee mi nitafanya pati siku hiyo
 
Faida nyingine watakaoyoipata Wazanzibari ni kurejea kwa mamia ya walowezi wa Kizanzibari waishio Bara kwenda kuijenga nchi yao. Idumu SMZ!!!
 
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.

Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!

Nadhani wewe una agenda yako ya siri! unadhani unavyofikiri ndo hivyo siku zote? itakula kwako!
 
Lakini pia kuna mafaida kibao.kama permission ya kufanya kazi za wapemba woote walioko kwetu.Umeme sasa mtaanza kulipia na sio kupewa bure . hata huko dubai anakokusifia kuna ushenzi mwingi pamoja na huo wa pombe madanguro na madawa ya kulevya.Aisee mi nitafanya pati siku hiyo

Serikali ya umoja wakitaifa imeshatia saini mkataba wa kutengeneza umeme wa bahari hapa zanzibar,kwa taarifa yako umeme hauna shida,nimepeleka Generata moja Katika mkowa wangu ambalo linauwezo wa kuhudumia mkoa mzima,kwa emagence tu,,,hehe matunda haya ya serikali ya umoja wa kitaifa,,,chadema watachonga sana.

Sisi hizo perssion zenu hatuzitaki tunahitaji visiwa vyetu,waterver itakavyokuwa znz ndio yetu na maamuzi yetu munaumia nini wagaga gigi koko ?
YouTube - Giant Sea Snake Renewable Electricity Generation bonyeza hapa angalia kitu.

haha tukipata viwinu viwili pemba na unguja viwili umeme tutatumia hadi mwilini,kwa sababu ni mwingi na hautakuwa na matumiziii,,,,sema jengine
 
Kuna jamaa yangu Mzanzibar yeye hayupo tayari muungano uvunjike kwani anaenjoy sana kuona dada zetu wa Bongo jinsi wanavyo vaa, anaenjoy ulabu na yule mnyama anayependwa sana. Maana kila apatapo hivi vitu utamsikia akisema raha ya muungano. Ha ha ha ha ha.............
 
Hivi kwanini Bunge la muungano lenya takriban zaidi ya 80% wabunge wa tanganyika lisijadili hoja hii ya muungano. Na nyie Chadema mnasemaje hapo.

Wa Znz hatuutaki muungano na nyie Bara mlilie Serikali yenu ya Danganyika

Mchamba sana atashika mavi!
Walaah siku wabunge wa bara wakiwachoka zenj itakuwa wilaya.
Na wanaowaponza ni hao wanaokula vya bara kiulaini!
Maana waswahili husema mchuma janga hula na nduguze.
Kama huamini mwambie Mwinyi, mnyaa, arashid, na mpemba yeyote aliye Tanganyika kuhusu kuvunja muungano kama atakuelewa.
Wee hukumbuki kauli ya mwinyi kwamba wazenj kama mnaona haya ya muungano ni uonevu basi acha watuonee umeelewa kauli hiyo?
Pia kanogewa huyu ruksa na kusema katiba kwa nini iwe leo? maana ameona mambo yote ruksa lakini hili la mabadiliko ya katiba litadhibiti malengo na ulaji wake.
Hao ndio wanaowaponza!
Si Jk alisema ukitaka kula shurti uliwe.
 
Wajaribu waone yatakayowakuta, Wakiuvunja Muungano huu basi wajue hawatakaa salama maana hata visiwa vya Nungwi watajua hawako na wapemba na laana hii itawatafuna maana wote wanaopendekeza hayo kinachowasumbua ni UROHO wa madaraka na watakufa bila kupata hayo wayatakayo, POLE WEE:lol::lol::lol:
 
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.

Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!

kweli nchi ya kidini..USHOGA PIA UTAPUNGUA ....i ges so....
do u thk watu kutumia madawa,makahaba,MASHOGA WEEENG imetokana na muungano?
I MEAN CHANZO NI TANGANYIKA?
acha fikra mgawanyo kuwa na fikra mzidisho if nt KUONGEZZ nt KUTOA!
 
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.

Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!

Hizo zote ndoto za alinacha. By the way,aliyekwambia Zanzibar kuna mafuta nani. Unakula ugali na picha ya samaki!
 
AsilimiA 99 zanzibar ni waislamu,na zanzibar ina culture yake na mila zake,ukiangalia zanzibar yapo makanisa,asilia moja tulionayo ya christian basi hawajai hayo makanisa tulonayo toka hapo awal kabla ya mapinduzi,makanisa munayotujengea hapa zanzbar hayana viwango na wala hamuna vibali,pia ardhi yetu ni ndogo sana,na kama munavyojua makanisa wanachukua heka,jengine zaidi katiba yetu inasema mtanganyika harusiki kumiliki ardhi zanzbar,kutokana na ardhi yetu ni ndogo,hata katiba ya muungano kipo hicho kipenge

Kuna sheria zipo hapa zanzbar ambazo za umiliki wa ardhi lakini zimekuwa zikivunjwa,na hili ni kosa la serikali ambayo iliyokuwepo hapo awali ilishindwa kulifuatilia na ndio wananchi wameona sasa wachukue hatua mikoni mwao,,,, sema jengine /
hivi huyu jamaa ni mtanzania kweli?au?mbona hajui kiswahili aisee??????au ndo tuseme huko zanzibar hamjui kiswahili?hebu nenda kajifunze kiswahili kwanza then ndo urudi kuendelea kututemea pumba zako,huna lolote na nahisi wewe unachijaribu kuongelea hapa ni udini tuu?sijui ni ufinyu wa mawazo au nini?kama zipo sababu za msingi za zanzibar kujitenga utuambie,lakini sio kuja na kisingizio cha mafuta,udini n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom