Harusini

butogwa

Member
Jun 22, 2011
33
6
Baada chereko nyingi ulifika muda wa maakuli, mara wakaingia warembo wa2 na kuanza kunawisha waalikwa' mafuta ya kula! Huwezi amini baadhi ya waalikwa walianza kutokwa na mate ya hamu wakitamani msosi uwahishwe, mara warembo wengine wakaingia na masinia makubwa, kushusha chini' MAFENESI! Watu' haiwezekani turudishiwe hela zetu!
 
Mafuta na mafenesi si ndio sawa jamani ni ubunifu tuu,sio lazima kila siku mle pilau.
 
Iyo iko poa coz ishu kubwa harusini ni ndoa ivo vingine ziada tu ila cha ajabu ata kwenye misiba menyu ikibuma watu wanamaindi ahaaaa kaz kwel kwel.
 
so it ate on them. (kwahiyo ilikula kwao,)
Nipo kwa sendoff sasahivi,Wakati wa bi harusi mtarajiwa kutambulisha ndugu akaanza kumfagilia mumewe kuwa ndio chaguo pekee. Nanukuu "nime-date na wanaume tofautitofati lakini hapa nimefika". Watu wakaanza minong'ono oooh amejionyesha kuwa utulivu 0 nk
 
Duhlakini wabongo ndioo tulivyo unatoka home hujala unategemea kwenda kushiba harusini kisa umechangia hahaaa
 
Mara yangu ya kwanza kula fenesi lininata mikono yote,yaani nililichukia balaa ndo nikaja ambiwa kwamba fenesi yake mafuta ya kupikia,duh!ushamba huu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom