:::::::Harusi:::::::::

dah! eti kwasababu unauhitaji, NIMEUSAHAU. Lkn beat yake inatumika sana ktk kuendeshea vipindi vyo chombeza time. By the way, chukua huu "U're my number one - Enrique"

asante sana Mkwaruzo..
 
Asante sana...

Nisiwachanganye si zangu.....
Namsaidia rafiki ambaye ana panic
......... sasa

Kazi ya MC na DJ wake hayo. MC anatakiwa kujua kabila la maharusi wote wawili na kuisoma hadhira iliyopo ili ajue kupiga nyimbo zipi.

Yeye mwambie ashughulikie kupendeza kwake siku ya harusi. Angalizo likiwa kana ana ngozi natural asiwa entertain wapambaji. Huwa nakerwa kukuta bi harusi kakandamizwa na make-ups mpaka unamsahau kama ni yeye!
 
Parapanda italia parapanda,,,,,. ili uwe mbunifu zaidi.

Make siku izi kila harusi utasikia wimbo wa kiatu wa rose mhando.
 
Kazi ya MC na DJ wake hayo. MC anatakiwa kujua kabila la maharusi wote wawili na kuisoma hadhira iliyopo ili ajue kupiga nyimbo zipi.

Yeye mwambie ashughulikie kupendeza kwake siku ya harusi. Angalizo likiwa kana ana ngozi natural asiwa entertain wapambaji. Huwa nakerwa kukuta bi harusi kakandamizwa na make-ups mpaka unamsahau kama ni yeye!

yeye anaomba nyimbo tu
si kitu kingine ..
Asante Masaki...
 
Masomaso, mwanangu msimuone
Kwa jicho la hasidi, mwanangu msimuone maso.... wa Issa Matona. Huo ndo unafaa hasa kwa harusi coz unaongelea harusi.
 
I love your topic today though nimeikuta imeshachanja mbuga sana.Huyo anayesema ni kazi ya MC na DJ ndo miongoni mwa wanaoharibiwa shughuli au wanaoshindwa ku enjioy siku yao maalum!

Nafagilia track uzizopewa ikiwemo ya Balisidya... waweza ongeza Nuru... wa Jide,Someone Loves you Honey wa Charlie Pride, Wil always Love u wa Celine Dione na Nimekuchagua wewe wa Deo.
 
Nyimbo nzuri sana
asante..
Na mimi umenipa..
najisikia sana basi mmhh
sante my dear ..
 
asante sana sweeteheart ,sweet lotion

Hivi hii harusi ni ya kwako tuanze kuandaa ngoma za asili yetu?

you're welcome mamito..

duuhh yangu nisingetafuta
nyimbo na we ungeshapata PM lolz
hii ni ya kipenzi changu mmoja harusi
weekend hii ka panic hana nyimbo..
Ndo nkamwambia ngoja nikuombee
msaada JF....
 
Sasa unataka nyimbo za kupiaga kwenye arusi kwani we DJ? hiyo kazi si uachie wenye kuijua? Au budget haitoshi kukodisha DJ? wewe tafuta DJ, atakuuliza kabila la anae oa na anae olewa, dini au dhehebu, aina ya watu unaotegea kuwaalika na baadhi ya mambo mengine kisha wewe kaa subiri mziki mwenyewe utapenda.
 
Bwana ee
kama unanyimbo toa kama wenzio
walivyosaidia huna basi pita zako
Hataki DJ jibu hilo..
asante...
 
you're welcome mamito..

duuhh yangu nisingetafuta
nyimbo na we ungeshapata PM lolz
hii ni ya kipenzi changu mmoja harusi
weekend hii ka panic hana nyimbo..
Ndo nkamwambia ngoja nikuombee
msaada JF....

hatakiwi kupanic haya mambo akitafuta MC mzuri tu yeye mwenye we atafurahi mpangilio mzima wa harusi yake ..kuanzia music mpaka watu kushereheka
 
hatakiwi kupanic haya mambo akitafuta MC mzuri tu yeye mwenye we atafurahi mpangilio mzima wa harusi yake ..kuanzia music mpaka watu kushereheka

Hataki DJ ...
Harusi kaamua kuifanya ndogo
tu.. ila ndugu jaamaa na marafiki
walio alikwa waweze kufurahia..

amependa nyimbo nyingi sana
hapa tayari..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom