Harusi yangu itakavyokuwa......!!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,105
2,499
Kwanza sitafanya kama wengine wengi wanavyopendelea harusi ziwe za namna gani, ya kwangu itakuwa kama hivi:

1. Chakula- Mihogo za kukaangwa na za kuchemshwa.
Nyama za kuchoma, kuchemshwa na za kukaangwa.
Kachumbari za kutosha.
Supu nazo zitakuwepo.

2. Vinywaji- Za aina zote.
3. Muziki- Za kidini, za kawaida na kitamaduni zitakuwepo.
4. Mavazi- Simple za kawaida hata kaptula au kuja na vest zitaruhusiwa mradi mtu anakuwa huru kwenye sherehe kama vile upo nyumbani.
5. Ukumbi- mandhari yake itakuwa ya kinyumbani nyumbani.
6. Usafiri wa kawaida kabisa.
7. MC atakuwa yeyote yule atakayeweza kufanya siyo lazima awe mmoja tu.
8. Ratiba itakuwa ya kipekee.

Kwa ufupi harusi itakuwa ya kinyumbani nyumbani siyo usasa mwingi!

Hii harusi nitaiita kwa jina la Chemgemo!
 
Safi sana!
Hata mumeo mtarajiwa anaweza kukubaliana na hili, nina shaka kama wifi zako wataafiki.
 
Njoo Mwanza kwenye 'Bukombe' uone, simpo sana, na hakuna kadi, na wanakuja kweli unaona wanakupenda.

Hizi harusi za michango unafki mtupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom