Harusi ya Preta Yasogezwa Mbele...!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Watakaohesabiwa ni wale watakaolala KWENYE KAYA usiku wa kuamkia 26/08/12

Wadau,

Napenda kuwajulisha kuwa harusi ya Preta na Erickb52 iliyokuwa ifanyike tarehe 25 kuamkia 26/08/2012 imeahirishwa hadi siku isiyojulikana, kutokana na sababu kuwa baada ya harusi tulipanga walale Honeymoon gesti inayoitwa Arusha-Raha...na hivyo zoezi la sensa lingewapita kushoto!
Wamekataa katakata na kusema bora waahirishe arusi kuliko kukosa sensa.

Wapeni ushauri zaidi!

Chanzo: Mimi ni mwanakamati!
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaaaaaaqa mtu chake ana hizi news?? kweli kaazi jamani, haya na Amyner naye??
Wenyewe hatuna hamu na tukio hili...Wametuacha hoi!
Juzijuzi Eric alimhakikishia Remmy kuwa atafunga naye pingu za maisha, sielewi msichana huyu wa Kimasai Preta kamlisha nini Eric!...huenda ndio kampa kitu inaitwa loshoroo!
 
Last edited by a moderator:
Vikao vya harusi huwa vinafanyikia wapi mkuu? ni Ngiwaranecha au?
Hapana mkubwa,
Ngiwaranecha Eric alikataa, alisema pale wanafanyia sana vikao vya misiba na mipango mazishi.
Ya kwake tunafanyia pale Cleopatra jirani na Matejoo kwa Preta!
 
ha ha ha.....will be back soon....siamini mwenyekiti wa kamati uje utoe siri hadharni namna hii.....
hii harusi ilikuwa siri.....au unataka Amyner na mtu chake waweke pingamizi....?
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha.....will be back soon....siamini mwenyekiti wa kamati uje utoe siri hadharni namna hii.....
hii harusi ilikuwa siri.....au unataka Amyner na mtu chake waweke pingamizi....?
Hata sasa bado ni siri Preta... Kwani tayari ushawaona hao kina mtu chake na amyner hapa?
Usikute na wao wameamua LIWALO NA LIWE!!:A S 465:
Halafu mtu chake ni rafiki yangu wa karibu sana, nimeona huenda nikiongea kwa namna hii itamsaidida kukata tamaa!
 
halafu wewe.....kila ukiwa na Vaselisa unabutua sana.....mwanamke simpendi yule....toka anikwarue na makucha yake....sitaki hata kumuona.....namchukia kama nini.....
 
Amefanya kazi ya Mtoboa siri!
Hongera for your coming wedding!

ha ha ha.....will be back soon....siamini mwenyekiti wa kamati uje utoe siri hadharni namna hii.....
hii harusi ilikuwa siri.....au unataka Amyner na mtu chake waweke pingamizi....?
 
Last edited by a moderator:
wenyewe hatuna hamu na tukio hili...wametuacha hoi!
Juzijuzi eric alimhakikishia remmy kuwa atafunga naye pingu za maisha, sielewi msichana huyu wa kimasai preta kamlisha nini eric!...huenda ndio kampa kitu inaitwa loshoroo!
ya ngoswe tumuachie ngoswe, ngoja nikae kimya!
 
Back
Top Bottom