Harusi ya Mtanzania na Mwingereza

poa tu...

hapo ni uhakika wa kupata passport ya mama malkia basi maisha yanasonga..na kama bw harusi shule ipo maana yake boksi basi tena..kiufupi ni good strategic move ktk maisha na wapo wengi tu huko...

hongera kaka jilie vyako wacha wabongo wahangaike na wanasiasa wao uchwara huku...
 
Duh! Jamaaa kaolewa! Sipendi kweli mijamaa ya home kwenda kuoa bibi zao ulaya
 
sasa tatizo likowapi bwana kua na killo 72 na bbi 250? me mbona lilishawah kua na dem mwenye kilo 107 nami nilikua na kilo 65, na mzigo unachapwa hadi unalala!!
 
Inasikitisha kuona watu, wengine wanaume wazima (afadhali hata sisters unaweza kusema wanatetea maslahi yao katika kutaka kuolewa) wanamsema vibaya mtu mume mwenzao kwenye ndoa yake kwa specualations na umbea. Kila mtu na maisha yake, haya mambo mengine ni ufinyu wa mawazo tu. Kama wameoana kwa hili, au lile ni mambo yao wawili, uchimvi mwingi unakuwa umbeya tu. Mauritania huko mwanamke asipokuwa mnene hapati mume, wanawake wanashindana unene. Sasa kama mazee ndiyo mapigo yake mnataka kumlazimisha types asizozitaka ?

Mnataka kupangia watu kuoa sasa? Ndiyo maana wengine hatuoi, usipooa mineno, ukioa mineno, basi tabu tupu.

Wanaume wazima mnamsema mwenzenu kaoa mlitaka awaoe nyie? Huyo boflo tunamjua, na nyie wengine je ?

Mimi sijui hii ndoa imepitia mambo gani, wamesaidiana vipi, wamependana vipi mpaka kufikia sakrameti hii takatifu, kwa hiyo naona jambo la kheri tu.Mwacheni mtu katika maisha yake, mimi ninamtakia kheri katika ndoa yake tu. Uungwana hauuzwi dukani.

Type zingine hapa zinaweza hata kupekua garbage kuangalia kama mmekula kizuri au kibaya. Hatari.
Kiranga nakupa hongera sana kwa kuliona hilo mbona kuna mambo mengi tu ya kuyajadili iwe kaoa mnene au mzee inawahusu nini yeye ndio anajua anapata nini au anakosa nini midume mizima umbea tu kama inaingizwa ......... sehemu ya ....
 
View attachment 14337
Harusi imefanyilka jana ktk mji wa Lincoln, Uk.......Bwana harusi ni 70 kg na Bi harusi ni 280kg

attachment.php
Bro hongera sana tuletee wifi letu tuselebuke nalo huku Ubungo achana na kina Boflo wanaotembea na mapamba makalioni kujisaidia choo kigumu kwao msamiati kila saa na mbrrrrrrrr
 
Hata kama ni mnene amependa mwenyewe.....people mind your business
 
sasa tatizo likowapi bwana kua na killo 72 na bbi 250? me mbona lilishawah kua na dem mwenye kilo 107 nami nilikua na kilo 65, na mzigo unachapwa hadi unalala!!



Well said..kuna mtu wangu mbobo ana 50kg na mke wake ni 120kg na ngoma inapigwa bila wasiwasi na inakubali the beats..
 
Jamani mbona tunarudi kulekule kwenye kujadili watu badala ya issues? Haya mambo ya kujadili huyu kaoa mnene, yule mwembamba au mzee au hivi au vile hayaendani kabisa na heshima iliyojijengea JF. Please buddies lets get on real issues and do away from this rubbish!
 
View attachment 14337
Harusi imefanyilka jana ktk mji wa Lincoln, Uk.......Bwana harusi ni 70 kg na Bi harusi ni 280kg

attachment.php

sioni tatizo kama amejitumana kuamini mzigo unakwendeka waiiii hongera kwa kulamba ganda kwanza maana wengine wana miaka kumi na ndoa zao wanatamani kurudi tanzania wanaishia kuchat jf kujua hali ya hewa
 
Back
Top Bottom