Harusi ya Mdogo wake rais Kikwete Ikulu ndogo Bagamoyo

ikulu ni nyumbani kwa rais...hakuna tafsiri nyingine na rais ana uwezo wa kufanya sherehe yeyote aitakayo..hata obama mkewe hufanya sherehe zake white house! Nyerere alikuwa akifanya misa, clinton akipiga vipapi na mkapa akilewa hadi anatambaa!...leo ikulu ndogo ambayo ni nyumbani kwao jk aliko mzazi wake! Mlitaka hii harusi ifanyike st.peters?

Inaonyesha wakristu mna chuki sana na uislaam na hakika wafuasi wa cdm mnaanza kupoteza mwelekeo kwa sababu tatizo sio jk na dini yake bali ni ccm.

tukumbushane, hata mkapa alioza mtoto wake akiwa madarakani katika viwanja wa ikulu. Jk kama rais hajiongozi bali wana usalama wanatoa amri kuhusu mahala muafaka pa yeye kuhudhuria sherehe.

Acheni mbowe afanyie sherehe bilicana club, jk ni rais anaamuriwa sehemu ya kufanyia sherehe, acheni wivu wa kitoto unaoambatana na ucdm!
 
Ikulu ni nyumbani kwa Rais...Hakuna tafsiri nyingine na rais ana uwezo wa kufanya sherehe yeyote aitakayo..hata Obama mkewe hufanya sherehe zake White house! Nyerere alikuwa akifanya misa, Clinton akipiga vipapi na Mkapa akilewa hadi anatambaa!...leo Ikulu ndogo ambayo ni nyumbani kwao JK aliko mzazi wake! mlitaka hii harusi ifanyike St.Peters?

Inaonyesha wakristu mna chuki sana na Uislaam na hakika wafuasi wa CDM mnaanza kupoteza mwelekeo kwa sababu tatizo sio JK na dini yake bali ni CCM.
Na wewe acha kuandika kama umelewa mpaka ukatambaa kwa mkono. Hii ni harusi ya Kikwete? Huyu ndugu yake si ni mtu mzima mwenye mji wake?
 
Ikulu ni nyumbani kwa Rais...Hakuna tafsiri nyingine na rais ana uwezo wa kufanya sherehe yeyote aitakayo..hata Obama mkewe hufanya sherehe zake White house! Nyerere alikuwa akifanya misa, Clinton akipiga vipapi na Mkapa akilewa hadi anatambaa!...leo Ikulu ndogo ambayo ni nyumbani kwao JK aliko mzazi wake! mlitaka hii harusi ifanyike St.Peters?Inaonyesha wakristu mna chuki sana na Uislaam na hakika wafuasi wa CDM mnaanza kupoteza mwelekeo kwa sababu tatizo sio JK na dini yake bali ni CCM.
Mkandara umekuwaje? Au kuna mtu kaiba password yako?
 
Siku hizi watu kuoa huwa hawana ubavu lazima kusaidiwa kuoa na ndiyo maana ndoa hazina thamani na hazikai .Maana kila anaye oa au kuolewa anaomba mchango wa harusi sherehe na si ndoa tukio kubwa na la heshima .JK kwa mwendo ule ule kaona ndugu yake anataka kuoa lakini hana uwezi sawa na wengi wanao omba omba michango kufanikisha sherehe zao kapeleka Ikulu yetu .Kazi hii ni si kazi tena ni hatari .Ni haramu kabisa kufanya mambo ya Ukoo Ikulu ya Tanzania .Kuna siku tutafungua kesi kudai yote haya
 
Tanzania tuko wajinga, mafala, wehu, majuha na wazandiki wengi, kama hawa wanaosherehekea kwa kodi zetu kila kukicha wakati sisi watumwa wao wa kuwalipia kodi tuko kwenye giza
 
Ikulu ni nyumbani kwa Rais...Hakuna tafsiri nyingine na rais ana uwezo wa kufanya sherehe yeyote aitakayo..hata Obama mkewe hufanya sherehe zake White house! Nyerere alikuwa akifanya misa, Clinton akipiga vipapi na Mkapa akilewa hadi anatambaa!...leo Ikulu ndogo ambayo ni nyumbani kwao JK aliko mzazi wake! mlitaka hii harusi ifanyike St.Peters?

Inaonyesha wakristu mna chuki sana na Uislaam na hakika wafuasi wa CDM mnaanza kupoteza mwelekeo kwa sababu tatizo sio JK na dini yake bali ni CCM.

akili butu hizi! Nadhani hujui maana ya ikulu...
 
Ikulu ni nyumbani kwa Rais...Hakuna tafsiri nyingine na rais ana uwezo wa kufanya sherehe yeyote aitakayo..hata Obama mkewe hufanya sherehe zake White house! Nyerere alikuwa akifanya misa, Clinton akipiga vipapi na Mkapa akilewa hadi anatambaa!...leo Ikulu ndogo ambayo ni nyumbani kwao JK aliko mzazi wake! mlitaka hii harusi ifanyike St.Peters?

Inaonyesha wakristu mna chuki sana na Uislaam na hakika wafuasi wa CDM mnaanza kupoteza mwelekeo kwa sababu tatizo sio JK na dini yake bali ni CCM.


Sikutaka kuchangia thread hii kwani niliona imekaa kimajungu majungu. Ila nimestushwa na na muelekeo wa Mzee Mkandara na ufahamu wake wa sasa juu ya CDM. Mkandara hii ndio CDM bwana.... nilivyokujibu kwenye ile issue ya mitizamo hasi ya wabunge wa CDM kwenye issues za waislamu na nilipokupa mifano ya maombi ya urejeshwaji wa shule ya wailslamu kule Mwanza na kikwazo kilichotolewa na mbunge wa jimbo lile kupitia CDM ya kutaka isirejeshwe hukunielewa.

Lakini hata lipokupa na mfano wa sakata la kiwanja kilicho mbele ya msikiti wa Majengo- Arusha na kisiki cha Mh! Lema cha kutaka Waislamu kunyang'anywa kiwanja kile pia ulishindwa kunielewa.

Nimatumaini yangu kuwa uzee ni dawa..na kidogo kidogo utawafahamu zaidi CDM na ngoma waipigayo.

Kikwebo.
 
"Nipe tano"!.....kweli Rais tunaye!
jk.JPG
 
'.................. Ikulu ni mahali patakatifu, ni mahali pa heshima..........' upande wa pili, '...........Ikulu ni mahali pa kufanyia sherehe, kupumzika .........'
 
NADHANI ANGEFUNGIA CHOOONI MNGEKUJANA MABAYA ZAIDI MWACHENIAFUNGIE HUKO JAMANI SASA MNATAKA KIKWETE AFE NDIIO AFUNGIE MAGOGONI..HUU NDIO MUDA WAKE NA BADO WENGI WANAKUJA LANGU SWALI JE HUYU MBONAKAZEEKEA ZAISDI YA KIKWETE ALAFU WANAMWITA MDOGO WAKE ??

13.JPG


Rais jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt Mohammed Gharib Bilal, wakiongozana katika Uwanja vya Ikulu Ndogo Bagamoyo wakati walipofika kuhudhuria sherehe ya ndoa ya mdogo wake na rais Kikwete, Yusuf Kikwete, iliyofungwa leo mchana katika uwanja huo na kuhudhuriwa na mbalimbali pamoja na wake za viongozi.
jk3.JPG


Bwana harusi, Yusuf Kikwete akiongozana na wapambe wake wakati wakiingia katika uwanja huo kwa ajili ya kufunga ndoa.
jk7.JPG


Sheikh, akitoa mawaidha baada ya bwana harusi kufungishwa ndoa.
jk5.JPG


Bwana Harusi, Yusuf Kikwete , akifungishwa ndoa na Sheikh. Aliyemshikia mike ni kaka yake Mohamed Kikwete
jk6.JPG


Bwana Harusi Yusuf na waumini wa dini ya Kiislamu wakiomba dua baada ya tendo la kufungishwa ndoa.
jk2.JPG


Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Bilala, wakiwa katika meza kuu kwenye Sherehe hiyo iliyofanyika Bagamoyo leo.
12.JPG


Rais jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na mkewe Mama Salma Kikwete na Bwana na Bi Harusi.
jk.JPG


Rais Jakaya akisalimiana na Mudhihir Mudhihir, walipokutana katika sherehe hiyo.
jk4.JPG


Miraji Kikwete, naye hakuwa mbali katika kunasa matukio, hapa alikuwa akimpiga picha baba yake mdogo.
jk12.JPG
 
Ndugu wanaJF, Kwenye news feed ya fb, ndugu Mtanzania Halisi ametoa hoja hii ya mdogo wa rais Kikwete kufungia ndoa Ikulu. Sasa kwa kuwa huku ndo kwenye Great Thinkers, nimeona niilete huku ili tuweze kupata darasa. Je ni sahihi? WAHESHIMIWA , TUPENI MUONGOZO..RAIS ANAPOSHIRIKI KUTUMIA MALI ZA UMMA KWA MASLAHI BINAFSI !!...Au kutokana na Edson..Je haya ndo matumizi ya Ikulu yetu?...http://www.globalpublishers.in​fo/profiles/blogs/ndoa-ya-mdog​o-wa-rais-kikwete

Labda suala la msingi kabisa. Hivi wewe unaelewa nini maana ya neno IKULU? au IKULU NI NINI? na jiulize kwanini IKULU hiyo imejengwa bagamoyo.

naomba majibu yako tafadhali.
 
Kwa jinsi ambavyo JK hafanani na ndugu zake wa huko bagamoyo, naelekea kukubali ule mvumi uliojazana huku mitaani tunakoishi kuwa JK ni Mchaga,famously as ''Mtoto wa Chifu Mareale!''.Kama kuna kufichwa kwa ukweli huu basi Nchi inaongozwa na mchaga aliyekulia kwa waswahili....ni kama ilivyo Kongo ikiongozwa na 'Mtutsi wa rwanda, Joseph Kabila aliyekulia Bongo'.
 
it's not fair kufungia harusi ikulu..kwani ye ni mtu mzima na ana kwake ilibidi raisi ndo amfuate huko.
 
Back
Top Bottom