Harusi ya Mdogo wake rais Kikwete Ikulu ndogo Bagamoyo

Duh! Mbona wamekomaa nyuso hivyo, je wanafunga ndoa au wanabariki?
Je bwana harusi huyo ni mke wake wa gapi aun ndo kwanza anafunga ndoa?
 
Hivi kumbe Rais Kikwete ana ndugu wa karibu; mbona sijawasikia wakiwa na madaraka serikalini kama wafanyavyo viongozi wengine ambao wakipata madaraka tu iwe chamani au serikalini basi utakuta mashemeji hayaaaa, baba wakwe hayaaaa, wake za watoto wao hayaaaa, kaka hayaaaa, dada hayaaa!!

Heshima kwako Kimbunga.

Mkuu unamfahamu mkuu wa mkoa wa Pwani Bi Hajat Amina Mrisho kama sikosei alikuwa Takwimu akaibuliwa na Ndugu yake Kikwete akabandikwa ukuu wa wilaya kabla miezi miwili haijaisha akazawadiwa ukuu wa mkoa.Kuna mwingine alikuwa Katibu tawala mkoa wa Arusha [RAS] Bi Nuru H M Mlao alipoingia Ikulu akamuuibua from nowhere sasa ni Naibu Katibu Mkuu wizara ya Maliasili na Utalii.Kuna waziri Dr Shukuru Jumanne Kawambwa ni ndugu wa karibu sana.Usisahau Bagamoyo hakuna wasomi wengi pia kabila la Wakwere ni dogo sana laiti wangekuwa wengi kama ndugu zangu Wahaya,Wachagga na Wanyakyusa mambo yangekuwa mambo.
 
Ikulu ni jengo mahsusi ya kuishi Rais na familia yake huku akifanya shughuli za kitaifa na kimataifa,ieleweke kuwa kabla Jakaya hajawa Rais alikuwa na nyumba yake huko bagamoyo,mara tu baada ya kuwa Rais nyumba ile kwa vile ndipo anapofikia akienda Bagamoyo,basi wakaona ni vyema ikatumika kama makazi rasmi ya Rais,lakini ukweli ni kwamba nyumba ile ni mali ya Jakaya na anao uwezo wa kufanya chochote pale kama ambavyo wewe unao uhuru wa kufanya jambo kwenye nyumba yako,provided huvunji sheria za nchi.Mbona hatuwaulizi waajiriwa wa serikali wanaofanya besdei zao kwenye nyumba za serikali?imekuwa nongwa kuwa Rais,hata kwako hurusiwi kufanya shughuli zako?wengine humu mnatia aibu kufuatilia maisha binafsi ya Rais,kwani yeye sio binadamu?Mbona Obama anafuga mbwa ikulu?
 
du hiyo ni royal wedding! alisubiri mpaka kaka awe rahisi ndo aoe ama hii ni suplementary?
 
Arusi za kina Malaria Sugu si huwa zinafungwa nyumbani kwa mwanamke? Imekuaje inafungwa kwa mwanaume?
 
Ikulu ni jengo mahsusi ya kuishi Rais na familia yake huku akifanya shughuli za kitaifa na kimataifa,ieleweke kuwa kabla Jakaya hajawa Rais alikuwa na nyumba yake huko bagamoyo,mara tu baada ya kuwa Rais nyumba ile kwa vile ndipo anapofikia akienda Bagamoyo,basi wakaona ni vyema ikatumika kama makazi rasmi ya Rais,lakini ukweli ni kwamba nyumba ile ni mali ya Jakaya na anao uwezo wa kufanya chochote pale kama ambavyo wewe unao uhuru wa kufanya jambo kwenye nyumba yako,provided huvunji sheria za nchi.Mbona hatuwaulizi waajiriwa wa serikali wanaofanya besdei zao kwenye nyumba za serikali?imekuwa nongwa kuwa Rais,hata kwako hurusiwi kufanya shughuli zako?wengine humu mnatia aibu kufuatilia maisha binafsi ya Rais,kwani yeye sio binadamu?Mbona Obama anafuga mbwa ikulu?

Hapa cha kuuliza tu jamaa hana kwake?ama hapatoshi ugeni wa Rais na washereheshaji wengine.Teee....teeee.... inanikumbusha ya bwana mdogo Ridhiwan nimemuona hapo kuwa hapa ni mjini hivyo tunaishi "ki mjini mjini".Nadhani baada ya ushereheshaji Bw. Yusuph atarudi kwake na bibie kwani nguo ya kuazima haistiri m..a..t...a...k...o (makalio).
 
mbona huyu mdogo ndio anaonekana kama mzee?au life msoto.. JK naona kawa mweupe kiyoyzi nini? au kwa vile anaishi kwenye ndege?
acha tu ndugu yangu ivuga ni wamepauka ile mbaya na inaonekana bwana harusi anamuoa mke wake..
 
Ikulu ni jengo mahsusi ya kuishi Rais na familia yake huku akifanya shughuli za kitaifa na kimataifa,ieleweke kuwa kabla Jakaya hajawa Rais alikuwa na nyumba yake huko bagamoyo,mara tu baada ya kuwa Rais nyumba ile kwa vile ndipo anapofikia akienda Bagamoyo,basi wakaona ni vyema ikatumika kama makazi rasmi ya Rais,lakini ukweli ni kwamba nyumba ile ni mali ya Jakaya na anao uwezo wa kufanya chochote pale kama ambavyo wewe unao uhuru wa kufanya jambo kwenye nyumba yako,provided huvunji sheria za nchi.Mbona hatuwaulizi waajiriwa wa serikali wanaofanya besdei zao kwenye nyumba za serikali?imekuwa nongwa kuwa Rais,hata kwako hurusiwi kufanya shughuli zako?wengine humu mnatia aibu kufuatilia maisha binafsi ya Rais,kwani yeye sio binadamu?Mbona Obama anafuga mbwa ikulu?

Are you serious? Ikulu ni mali ya JK? Amenunua kwa bei gani? Au alipewa zawadi? Analipa city rates hapo? Umeme, maji?
Usifananishe nyumba za serikali na Ikulu maana ni vitu viwili tofauti. Ya kwanza, Ikulu ni ofisi, ambapo nyumba ya mfanyakazi wa serikali sio ofisini kwake. Ikulu inabeba title, na ndio official residence ya kiongozi wa nchi. Kungetokea janga la kitaifa, harusi ingekatika katikati? Mtu angetaka kwenda kumwona Rais, angeambiwa leo kuna harusi usije?
Mbona unataka kunichekesha...
Pili, je, kwenye nyumba za serikali ni wananchi ndio wanaolipia mahitaji & matumizi?
 
Kama ametumia fedha za serikali si halali hata kidogo,nina uhakika lazima zimetumika kuweka sherehe ya ndugu yako Ikulu kwa serikali yetu ilivyo dhaifu nilazima dharama zimetoka Hazina.
 
Ahaa, kumbe hamjui.......siku hizi kuna kumbi za ikulu ndogo kwa ajili ya harusi harusi.....ila na mimi kuna mdogo wangu anaoa mwezi wa kumi na moja. katika kutafuta kumbi nyingi zipo occupied, na huo wa ikulu ndogo Bagamoyo ndio nimejibiwa upo occupied hadi october,2015 kwa ajili ya ya harusi za wadogo zake baba RIZI 1
.
 
Ikulu ni jengo mahsusi ya kuishi Rais na familia yake huku akifanya shughuli za kitaifa na kimataifa,ieleweke kuwa kabla Jakaya hajawa Rais alikuwa na nyumba yake huko bagamoyo,mara tu baada ya kuwa Rais nyumba ile kwa vile ndipo anapofikia akienda Bagamoyo,basi wakaona ni vyema ikatumika kama makazi rasmi ya Rais,lakini ukweli ni kwamba nyumba ile ni mali ya Jakaya na anao uwezo wa kufanya chochote pale kama ambavyo wewe unao uhuru wa kufanya jambo kwenye nyumba yako,provided huvunji sheria za nchi.Mbona hatuwaulizi waajiriwa wa serikali wanaofanya besdei zao kwenye nyumba za serikali?imekuwa nongwa kuwa Rais,hata kwako hurusiwi kufanya shughuli zako?wengine humu mnatia aibu kufuatilia maisha binafsi ya Rais,kwani yeye sio binadamu?Mbona Obama anafuga mbwa ikulu?
mjomba swala la harusi ni issue ya private na ikulu si mahala pa kufanyia private issues kumbuka kwamba kila kitu ndani ya ikulu kinalipiwa na umma wa tanzania umeme, maji. simu na hata makochi waliyokalia kwahiyo huwezi kutumia public office kufanyia mambo yako binafsi na ukoo wako na hata hao wanaofanya bithdays party kwenye ofisi wanafanya kimakosa just because everybody does it that does not make it right.
 
Ikulu ni nyumbani kwa Rais...Hakuna tafsiri nyingine na rais ana uwezo wa kufanya sherehe yeyote aitakayo..hata Obama mkewe hufanya sherehe zake White house! Nyerere alikuwa akifanya misa, Clinton akipiga vipapi na Mkapa akilewa hadi anatambaa!...leo Ikulu ndogo ambayo ni nyumbani kwao JK aliko mzazi wake! mlitaka hii harusi ifanyike St.Peters?

Inaonyesha wakristu mna chuki sana na Uislaam na hakika wafuasi wa CDM mnaanza kupoteza mwelekeo kwa sababu tatizo sio JK na dini yake bali ni CCM.
 
Back
Top Bottom