Harusi ya burn ni jumamosi hii-19/12/2009 mchekini shemeji yetu

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Kwa hesima na Ruhusa ya Burn natangaza rasmi tangazo la ndoa yake kama kuna mwenye pingamizi aseme leo au na akae kimya milele alichokiunganisha Mungu na mwanadamu asikitenaginshe.

HARUSI YA BURN NI JUMAMOSI HII-19/12/2009 MCHEKINI SHEMEJI YETU

Attachments

  • Hongera BURN.JPG
    Hongera BURN.JPG
    47.9 KB · Views: 545
Shemeji namheshimu sana..Lakini Burn ndugu yangu hapo umeliwa!...Zikigoma hizo Mchina HUTOMTAKA HUYO...Ohooooo!
 
Kwa hesima na Ruhusa ya Burn natangaza rasmi tangazo la ndoa yake kama kuna mwenye pingamizi aseme leo au na akae kimya milele alichokiunganisha Mungu na mwanadamu asikitenaginshe.

HARUSI YA BURN NI JUMAMOSI HII-19/12/2009 MCHEKINI SHEMEJI YETU

...Kama ni Original mwanawane amelamba dume lakini kama ni made in china...mh! mh! mhhhhh! Samahani mazee!!
 
WAPWA/MARAFIKI wote tumealikwa ukumbi tutatuma kwenye PM
 
Shemeji namheshimu sana..Lakini Burn ndugu yangu hapo umeliwa!...Zikigoma hizo Mchina HUTOMTAKA HUYO...Ohooooo!

Nipeni moyo wapwa nyie si ndio mlinikataza maisha ya useja? Hapo sio mchina na MZIGUA orijino
 
deh deh deh! kongrechulesheni ! hayo maeneo ya kusini hapo utahitaji nevigeta mpaka uione hiyo intanashinali eapoti yenyewe.
 
Hakuna cha Navigator wala nini...Anatumia VFR tu, kitu kwa mbali anakiona!..huh!
 
Nipeni moyo wapwa nyie:) si ndio mlinikataza maisha ya useja? Hapo sio mchina na MZIGUA orijino
...teh! tehhhh teehhhh!!!!
haya mgosi wa ndima...hapo ule ushibe mazee kabla ya kuingia chimbo!!
 
Nilimpa deal ya nguo ya shemeji yenu huyo dizaina wenu Idarius kachemsha tena amenijulisha sasa hivi, sasa akina dada nipeni ushauri pahala pakupata pamba za wifi yenu kabla ya sato.
 
...kama ni original mwanawane amelamba dume lakini kama ni made in china...mh! Mh! Mhhhhh! Samahani mazee!!

sasa hata kama ni manyendi orijino anayafaidi vipi?
Cha muhimu kwa mwanamke ni kile ambacho huwa tunadili nacho...
Manyendi a.k.a hips, miguu chupa ya bia, sura nzuri, nywele ndefu hizo zote mbwembwe mambo yote pale kwenye upenyo na vimajimaji
 
Ni kama chakula na viungo, japo hatuwezi kula chumvi peke yake ila ikikosekana kwenye mboga inakuwa shida.
 
Mzee best man lazima tumwasi kwa muda asije akafanya kufuru
 
deh deh deh! kongrechulesheni ! hayo maeneo ya kusini hapo utahitaji nevigeta mpaka uione hiyo intanashinali eapoti yenyewe.

Klorokwiiiiiiiiiin wewe mchungu kama kwinini!!! mmm lakini ni kweli naona Burn atapotelea eapoti asijue pakutokea wapi? du!
 
Nipeni moyo wapwa nyie si ndio mlinikataza maisha ya useja? Hapo sio mchina na MZIGUA orijino
Tell them Burn
Ila hongera nitatoa baada ya kupata PM either kutoka kwa Nguli au Burn mwenyewe
 
So burn u cheated on me?? Ninapingamizi jamani, na kwa nini tangazo halikutoka siku nyingi?
 
Back
Top Bottom