Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,663
- 20,418
Basi poa tu, mteja na mmiliki wa ukumbi mnalipana 2,500,000/= lakini mnakubaliana muidanganye serikali kuwa ukumbi ni sh. 500,000/=, so hakuna kodi hapo3. Sherehe yoyote itakayofanyika kwenye ukumbi usiozidi sh. 700,000/= hakuna kodi.
Kodi:
(a) 18% = 3,600,000/= au ukijitahidi kudanganya kuhusu bajeti, unaenda kwenye (b)
(b) 100% ya Hall = 2,500,000/= au ukijifunza kuacha makuu, utafuta ukumbi wa 1,500,000/=, unahamia (c)
(c) 100% ya Hall = 1,500,000/=
Teh tehe, serkali haijatoka kapa