Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

kisoka kiroba kimoja kinakubalika kupunguza mafuta tumboni maana mpira uko tumboni, akizidisha ndio noma........
 
alafu ndo wanajifananisha na wakina xavi! hahaha....! huu sio mpira hapa bongo, ila hatuna jinsi tuendelee tu na ushabiki, jaribu kuvuta picha mtu kama roony anafanya hayo mbele ya fegurson! what next?
 
Back
Top Bottom