Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Waungwana msaada demu kachomoa nisimkisi Kisa nanukia pombe nimekula bia kadhaa tumeingia gheto kakataa anakwepesha mdomo nimepiga mswaki bado harufu aiishi nifanyeje?kama kua Dawa ya kutafuna kupuliza nk nk msaada

Sukutua mdomo kwa mafuta ya taa, mie huwa inanisaidia sana....
 
Waungwana msaada demu kachomoa nisimkisi Kisa nanukia pombe nimekula bia kadhaa tumeingia gheto kakataa anakwepesha mdomo nimepiga mswaki bado harufu aiishi nifanyeje?kama kua Dawa ya kutafuna kupuliza nk nk msaada

Mkuu naomba nichangie mada yako kwenye maeneo niliyoya-highligh in colors

1-red color- pombe ukiinywa hunuka..kitu kinachonukia ni kile kinachotoa harufu nzuri na kinachotoa harufu mbaya kinakuwa kinanuka.

2-blue color- hivi kaka bado unakaa/ishi ghetto?..na unajisifia umekunywa pombe/bia 2? na huyo demu wako anakubali umle-denda then mu-duu gheto?...kwa uelewa wangu wa ghetto ki-bongobongo ni chumba kimoja kinachokaliwa/ishi mtu zaidi ya mmoja wa jinsia moja na wenye kipato kidogo wakishirikiana kulipa kodi ya pango ili wajikwamue kiuchumi waamie makazi bora zaidi.

3-cyan color- anakwepesha mdomo ili asipate ladha ya pombe ulizokunywa na zinazotoa harufu mbaya kupitia pua zako unapo-pumua.

4-magenta color- ufanyeje ili harufu iishe?
a)-muache huyo demu wako kama huwezi kuacha pombe maana anaingilia uhuru na starehe yako uipendayo ya ulevi.
b)-acha pombe kama huwezi kumuacha huyo demu wako maana yeye ndio anakereka
 
Una tatizo la meno kutoboka? Kama huna jitaidi kupiga mswaki vizuri hasa kusugua ulimi watu wengi hatujui ulimi unahifadhi uchafu kuliko meno na tukisugua meno inatosha kumbe ulimi umegandana na uchafu.
 
Piga mswaki mara mbili kwa siku na sukutua mdomo na listerine/colgate ya kusukutulia..safisha ulimi vizuri vilevile kama alivyosema leomimi
 
Tangawizi ya unga changanya na chumvi weka kwenye kichupa chooni, kila ukisha piga mswaki na kusukutua kosha mswaki wako na utie mchanganyiko wa tangawizi na chumvi kisha piga mswaki ( ni uzuri kuweka mswaki mwengine) kama una jino bovu linatoa harufu basi itaondoka harufu hiyo kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu.@anthonydan Tumia kisha unipe Feedback. Chanzo:MziziMkavu
 
Dr MziziMkavu, kama je haswakii chooni? Lol

mtoa mada, pole sana. Unafanya flossing? Nenda kwa dr wa meno kama una meno mabovu utoe. Jaribu kutumia sugar free chewing gums. Zinaweka mdomo fresh kwa muda mrefu pia.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana! I had the same the same problem, nilitumia dawa ya meno inaitwa forever bright tooth gel na aloe vera gel tatizo limeisha kabisa.itafute mkuu itakusaidia au ntafute nkusaidie 0752720276 japo bei yao ipo juu kidogo.
 
Bila kusahau pia kuwa harufu mbaya ya breath inaweza kutokea kwenye mapafu, kwa mfano ukila vitu kama vitunguu swaumu vibichi...
 
Je unalo tatizo la kupata choo kwa siku.
Spot on, mtu anaweza kupiga miswaki mara tatu kutwa, lakini ukiwa na matatizo kwenye digestive system utaendela kutokwa harufu mbaya mdomoni, ni watu wachache wanao lijua hilo harufu hiyo inaweza kuwa inatoka tumboni/utumboni. At minimum binadamu unapaswa kupata choo at least zaidi ya mara mbili kwa siku!
 
Source: www.mtsimbe.blogspot.com

Je, Unatoa Harufu Mbaya Mdomoni? - Home Remedies for Bad Breath (Halitosis)



bad-breath1.jpg



Bad Breath (Halitosis):


• Bad breath can be an embarrassing condition
• It generally results from a lack of or poor oral hygiene


Symptoms to look for:


• Unpleasant odour in breath
• Dry mouth
• Bad taste
• Feeling of a coating on tongue


Causes:


• Bacterial activity in mouth
• Improper oral hygiene
• Dry mouth
• Digestive disorders
• Chewing tobacco
• Consuming garlic


Natural home remedy using cinnamon (Mdarasini):
cinnamon.jpg

1. Take 1 cup of hot water
2. Add 3 tsp of cinnamon powder
3. Mix well
4. When lukewarm, use as a mouthwash



Tips:



• Chew 2 cardamom seeds
Cardamom.jpg

• Suck on a piece of clove after each meal
• Eat apple or guava after each meal as it clears the food particles stuck between the teeth and prevents bacterial activity
• Brush 2 times a day
 
Kubrush three times and flossing once a week ndo mpango mzima. Cinnamon ilivyo chungu kuitumia kama mouth wash mweeh?

Kumbe ni chungu eeh?

Sasa si bora kama kuna mtu ana tatizo hilo inafaa.

Naamini kuna mouth wash nk nk. lakini kwa anayetaka natural remedies anaweza kutumia hiyo.
 
Kubrush three times and flossing once a week ndo mpango mzima. Cinnamon ilivyo chungu kuitumia kama mouth wash mweeh?

We Trainee, for maximum oral hygiene flossing must be done daily at least twice. On top of that tongue scrapping using a tongue scrapper helps a great deal.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom