Hardtime for chadema

Siasa itabaki kuwa siasa, sijui unataka kutuambia nini hapo, mbona hutupi majina ya wanaccm waliohusika kuua arumeru, kupiga wabunge wa cdm-mwanza na hata huyu anayehusika na utekaji wa dr. ulimboka?

Fuatilia post zangu humu ndipo utagundua kuwa mimi sio na wala sitarajii kuwa CCM.Mimi ni kama wewe kiitikadi tofauti ni mtazamo tu.
 
1.Katibu wake mkuu anakabiliwa na kesi aliyofunguliwa na Rose Kamili.
Kwamba anamuwekea pingamizi la ndoa iliyokuwa imetajwa kufanyika july 21 mwaka huu.Pamoja na mambo mengine Kamili anadai alipwe fedha za matunzo ya watoto.

Hali hii kwa katibu mkuu wa chama inamfanya kupoteza muda mwingi kudeal na kesi hiyo na chama kukabiliwa na wakati mgumu.Pia mahasimu wao wa kisiasa wanatumia mwanya huo kuwaharibia kuwa kuhusu uadilifu na hawafai kuongoza nchi.....

Upumbavu au nini?manake una macho lakini huoni una maskio lakini husikii kati ya Chadema na ccm ipi yenye Hardtime??

Au huoni kuwa chama tawala kinajitahidi kukikandamiza chadema ila kinasahau kuwa ndi inakipaiza chama hichi.

Inatakiwa ccm watumie akili mambo yote mabaya wanayoifanyia chadema je ndio wanakidhoofisha au ndio wanakipaiza?
 
Kipi kigeni kwenye si ha sa za tanzania hapo! kesi hizo ni ukombozi Madiba amekaa jela miaka zaidi ya 22 jela, bado ndo mtu maarufu zaidi Afrika na pengine Duniani, Hizo pia ni siasa,
 
Na hili ndilo tatizo la baadhi ya wanachadema humu JF.Ni bora kukisaidia chama kivuke salama kutoka hapa badala ya kujifariji kwa ushabiki wa kipumbavu.Mambo sio mazuri tukisaidie chama chetu kitoke salama.
naona umeingia na ID mpya! hizi damu ulianza kumwaga Igunga,Arumeru na sasa jimboni kwako zinakupagaisha?!
 
For a political party like CHADEMA needs potential experience through constraining challenges.So worry out,things will be cool soon.Critically,some of chadema members learnt many thing through the situation especially during this parliamentary season.Athough aluta....M4C
 
kijana aliyekunywa pombe aina gongo na kufariki baada ya kulewa sana huko singida amezikwa mchana huu inasemekana aliyewanunulia ponbe hizo mwigulu nchemba nae alikuwepo kutoa pole kwa kuwalewesha watu hao
 
How things are going to be cool while missing the steps?
 
kijana aliyekunywa pombe aina gongo na kufariki baada ya kulewa sana huko singida amezikwa mchana huu inasemekana aliyewanunulia ponbe hizo mwigulu nchemba nae alikuwepo kutoa pole kwa kuwalewesha watu hao

And what does this mzinifu Nchemba got to do with the post?The same problem.
 
naona umeingia na ID mpya! hizi damu ulianza kumwaga Igunga,Arumeru na sasa jimboni kwako zinakupagaisha?!

Angalia me nipo humu tangu lini na soma post zangu humu utagundua kuwa ulichokiandika hapo juu hakimake sense!
 
Na hili ndilo tatizo la baadhi ya wanachadema humu JF.Ni bora kukisaidia chama kivuke salama kutoka hapa badala ya kujifariji kwa ushabiki wa kipumbavu.Mambo sio mazuri tukisaidie chama chetu kitoke salama.

we,ndo unamatatizo huoni kesi za kutengeneza,cdm wanapambana na adui ccm+police
 
its even going to be harder to CCM .Soon CCM watajikuta wana kesi wrong nyingi against CDM, watajikuta shahidi za kipuuzi walizozitoa sasa hivi kwa haraka ya kuziba mapengo.Soon zitaanza ji- contradict hizi events.na itabidi kila mwana CCM ajitete roho yake mwenyewe.

Kwanza mwigulu si muda atajikuta zile sifa za Kampeni na blank cheque ta matusi aliyopewa na desperate ccm katika uchaguzi wa igunga itakuwa imeisha vibaya na hakutakuwa na mtu na muda wa kumsafisha.Tayari Behaviour yake Bungeni inazidi dahlilisha viongozi wa bunge kuwa wanambeba.Kova tayari anahaha na hajui pa kushushia zigo , hao usalama wa taifa nao si muda watashindwa pata kambi.

Si muda wakeya wataingia katika hizi issue za mauaji ya watu wao hadi wale wanaoambia kuwa ni majambazi sugu.Then CCM hawatakuwa na pa kujishika.

Si muda tena jumuia ya Kimataifa nayo itakuwa makini sana.tena hiki kipindi tumekuwa wasemaji wa mataifa tatanishi kama iran, iliyokuwa libya, mashir, Etc.

Jamaa wanasahau msemo wa o wa ksiwahili kuwa njia ya mwongo ni Fupi
 
we,ndo unamatatizo huoni kesi za kutengeneza,cdm wanapambana na adui ccm+police

Na kukosa mbinu za kiintelijensia kupambana na hao maadui kunasababisha kesi mbaya zaidi na hivyo chama kuwa njiapanda.Ni vema kutoa ushauri kukisaidia chama kitoke hapa kilipo salama.
 
its even going to be harder to CCM .Soon CCM watajikuta wana kesi wrong nyingi against CDM, watajikuta shahidi za kipuuzi walizozitoa sasa hivi kwa haraka ya kuziba mapengo.Soon zitaanza ji- contradict hizi events.na itabidi kila mwana CCM ajitete roho yake mwenyewe.....

Chama kinataka kutumia nguvu nyingi kupambana na huyo Mwigulu ambaye sio tishio kabisa and in so doing wanaingia mitego ya polisi na CCM. Kwanini tunashindwa kuepuka mitego yao?
 
One thing anyone should notice here is that, CCM are now playing their last cards!! Its either a big "YES" or a small "NO".

CCM wanachocheza sasa hivi ni bahati na sibu hawajui kama reputation yao itaweza kurudi kama zamani au la, what they are doing is just to destroy the enemy first, the outcome still unknown.

We still have faith that the majority of Tanzanians still need changes, which will still make CHADEMA stronger n stronger regardless of some blunders/mistakes from the frontliners.
 
1.Katibu wake mkuu anakabiliwa na kesi aliyofunguliwa na Rose Kamili.
Kwamba anamuwekea pingamizi la ndoa iliyokuwa imetajwa kufanyika july 21 mwaka huu.Pamoja na mambo mengine Kamili anadai alipwe fedha za matunzo ya watoto.
Hali hii kwa katibu mkuu wa chama inamfanya kupoteza muda mwingi kudeal na kesi hiyo na chama kukabiliwa na wakati mgumu.Pia mahasimu wao wa kisiasa wanatumia mwanya huo kuwaharibia kuwa kuhusu uadilifu na hawafai kuongoza nchi......

Duh! Wewe unaishi Tanzania Kweli? Unafanya kazi wapi? Naona uko na muda mkubwa sana wa kuandika jambo ambalo ni ndoto ya mchana tena umelala juani. "Change ur mind".
 
With all due respect, Uwezo Tunao, I think the tittle of the post should be: Hard time for CCM and opportune time for CHADEMA!
 
Na hili ndilo tatizo la baadhi ya wanachadema humu JF.Ni bora kukisaidia chama kivuke salama kutoka hapa badala ya kujifariji kwa ushabiki wa kipumbavu.Mambo sio mazuri tukisaidie chama chetu kitoke salama.

Sijaona cha kukifanya chama kuwa katika wakati mgumu hapo, angalia upande wa chama tawala ndo utaona tafsiri ya WAKATI MGUMU!
 
With all due respect, Uwezo Tunao, I think the tittle of the post should be: Hard time for CCM and opportune time for CHADEMA!

Duh!Kuna watu huwambii kitu kuhusu chadema aisee!Yani bado unataka kuendelea kusikia mazuri tu?Badilika kisaidie chama kitoke salama kwenye hardtime.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom