Hard disk imenizengua.

Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,362
490
Wana jf natumaini wote mu wazima wa afya,ninaomba msaada wenu ninacomputer pentium4 dell tower.jana imeanza kuandika disk boot failer replace and press enter.nikiichek kwenye bios set up aionekani ila inapokuwa inaboot inakuwa detected lakni inapotea na kuleta iyo mesage ktk black screen.naomba mwenye ujuzi anisaidie kama itakuwa imekufa au lah!thanx
 
Jaribu kuifunga kama slave kisha hamisha kila unacho itaji humo ndani,ukiirudishia piga chini window hiyo.Mungu akusaidie.
 
Wana jf natumaini wote mu wazima wa afya,ninaomba msaada wenu ninacomputer pentium4 dell tower.jana imeanza kuandika disk boot failer replace and press enter.nikiichek kwenye bios set up aionekani ila inapokuwa inaboot inakuwa detected lakni inapotea na kuleta iyo mesage ktk black screen.naomba mwenye ujuzi anisaidie kama itakuwa imekufa au lah!thanx

Hao ni boot virus wamebadili code za kuboot computer yako,kama una cd ya ubuntu live cd unaweza kurun cd kwa kuboot toka hiyo live cd na unakua km vile imeinstall kumbe iko kwenye cd then hapo recover data zako then toa cd ndo uiformat
 
kama unatumia windows inawezekana hukuwa na tabia yakufanya disk defregmentation mara kwa mara kwahiyo mafaili yamekuwa scuttered hovyo hovyo na windows inashindwa load on boot.

Lakini Kama alivyosema Amoeba neda kadownload Ubuntu halafu burn kama image file (.iso) then run kwenye computer yako kama live cd. Kama komputer yako ita-run ubuntu bila matatizo basi tatizo siyo la hardware (drivers/ mobo/cards/memory/powersupply) bali ni hiyo hardisk. Tumia disk utility application ya ubuntu kuangalia hard disk healthy condition.
 
Really? Simple answers bila kudodosa vyakutosha? Could be other things too!
 
oya nazan hayo juu ndo majb ila cha mcng eb run liv cd kisha angalia ka hard disk inaonekana, icponekana ujue had disk isha kufa. Kngne ifungue computer yako af itoe had disk ishke mkonon af washa computer uskie ze way inavo unguluma kama ina gonga gonga bas itakua imekufa. Kam hujaelewa waweza ulza
 
Mkuu Babuu Blessed hujatuambia unatumia Windows ip? Windows 7au windows XP? jaribu kufuata haya maagizo yangu hebu soma hapa Issue1. Error message "Disk boot failure, insert system disk and press enter" upon startup
Issue2. On board clock reset

Solution. Change CMOS battery, then set back your previous raid settings to find your hard drive again, format if needed.
Video on changing CMOS battery, beard included:
http://www.youtube.com/watch?v=lx1NQMc063U


<font color="#3C3B3B"><span style="font-family: Verdana">

Do you have the Operating System disc? then insert it, Re-start the computer, press F2 or DEL key while it booting which will take into BIOS page then select CD or DVD Drive first in boot order, and boot from disc then choose Repair, if the Boot files are missed then it'll be repaired, if it fixed the problem then run chkdsk command in order to check any errors on the Hard disk. Sudden power off to any system is Unsafe.

Jaribu kuichomowa hiyo Betri ya CMOS kwa dakika kama 30 kisha rudisha tena washa Laptop yako ita boot kwenye hiyo windows yako kisha nipe Feedback.
 
Last edited by a moderator:
hapo mkuu jaribu kuiconnect kwenye computer nyingine yenye antivirus ya ukweli halafu scan kabisa kisha irudishie kwenye computer yake uone. ikishindikana ndo hamisha data na u fomati
 
Back
Top Bottom