Harambee ya ujenzi wa kanisa

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,570
187
Kanisa moja liliendesha harambee ya ujenzi waumini wakachangia hela ilipohesabiwa ikapatikana laki saba na hamsini elf na mia tano hamsini. Wakati pastor anashukuru kwa matoleo majambazi yakaingia yakaanza kuwasachi waumini ikapatikana milioni kumi na sita..! Majambazi yakampatia pastor kama mchango wao! Je ungekuwa wewe ndo pastor ungeelewaje na ungefanyaje?
 
Back
Top Bottom