Harambee ya Tv Imani Ilikuwa si Habari?

Status
Not open for further replies.

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?
 
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?

TV imani itakusaidia nini zaidi ya chokochoko tu.
Tunataka mambo ya kimaendeleo
 
Wao wana watangazaji vihiyo, wanaoongea kwa kutumia hisia, hawana maofisa uhusiano; bado hawajakamilika kama taasisi.
 
Ndio mjue nyie ktk hii nchi hamthaminiwi pamoja na kumuunga mkono jk sababu ni mwenzenu.
 
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?

Hatutaki habari zake, pia wanahabari huangalia habari inayoweza kuuza na kufurahiwa na watu
 
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?
Hongera kwa ufanisi. Hata mie niliwauliza baadhi ya Wanahabari, walichojibu HAWAKUALIKWA kama ilivyokuwa wakati wa Makongamano ya Waislamu, ni Radio Imaan tu ilikuwa mwenyeji wa Makongamano hayo, pia ndiyo inaweza kuripoti vizuri mambo ya aina hiyo bila kuhujumu kitu.
 
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?
Mwenzio Malaria sugu alikuja na thread yake ya "itv ina ubaguzi wa kidini" ikafungwa muda si mrefu, bahada ya kuonekana inaanza kuhatarisha amani na mshikamano tuliokuwa nao ndani ya JF. na wewe naona unaanza hayohayo. Hivi hamna kingine cha kuandika humu zaidi ya habari zinazoashiria udini?
 
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?
Ni habari na ndo maana umeileta hapa kwa magreat thinkers waichambue. Lakini mngefanya hivi tangu miaka ile 1992 kipindi kile cha akina Kighoma Malima,mngekuwa mbali na hata vyuo mngejenga.Na usitegemee waandishi wa habari,kwani mliwaalika na walikuja na hawakui publish? Au umekurupuka tu!
 
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?

kwani al nuur halikuandika pia? Ile radio ya moro haikusema lolote pia?

Dah, pole sana mkuu. Lakini dhumuni lilikuwa kuongelewa kwenye vyombo vya habari au kupata fedha za kuanzisha kituo cha luninga?? Mmepata mijihela au hamjapata??

Unajua ukifanya assessment ya activity/event kwa kutumia objectives ambazo sio za main event unaonekana wewe ni assessor/evaluator kihiyo.
 
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?

wewe ndo unagundua leo kuwa hata wanahabari waislam hawajui lipi la kuandika na lipi la kuacha. Wewe ndo unagundua leo kuwa habari za uislam hazina mteja?!.
 
Mwenzio Malaria sugu alikuja na thread yake ya "itv ina ubaguzi wa kidini" ikafungwa muda si mrefu, bahada ya kuonekana inaanza kuhatarisha amani na mshikamano tuliokuwa nao ndani ya JF. na wewe naona unaanza hayohayo. Hivi hamna kingine cha kuandika humu zaidi ya habari zinazoashiria udini?

hatuna jambo jingine, hili jambo kwetu sisi ni jambo kubwa sana, na tunasikitika kwa nini tbc, itv, radio one, ea tv and radio, star tv, chanel 10, magic radio, clouds tv and radio, radio uhuru, znz tv and radio to mention the least hawakuona umuhimu wa shughuli yetu hii???!!
 
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?

Bornvilla,

Kwa nini dhehebu kubwa na linalotaka hadhi linashindwa hata na vi-NGO! Kuna kitu kinaitwa Social Marketing. Hii dhana kwanza inatambua umuhimu wa kuwa na mtu wa Uvumishaji na Masoko (Promotion and Marketing) si katika taasisi na makampuni yanayojiendesha kwa kutafuta faida tu, bali hata katika asasi, Taasisi na mashirika yanasiyojiendesha kwa kutafuta faida.

Ni Taasisi na asasi zilizobaki zikikumbatia mtazamo wa kizamani tu ndo zinaathirika kwa kuwa na habari zisizofika kwenye hadhira kubwa zaidi; yaani vyombo vya habari. Na kwa taarifa yako kina Pasco (waandishi) hawaji bila mwaliko. Labda tukio hilo liwe ni ajali! Swali Je, mliwaalika?

Usitake kuniaminisha kuwa BAKWATA na lundo la matawi ya Taasisi ndogo ndogo zote e.g BATAMIKI etal hawana kitengo cha Habari! Hii itatia wasiwasi kuwa mmejenga msikiti kabla ya kuwafundisha watu kuswali! Namaanisha mnataka kumiliki chombo cha habari bila kuwa na au kuwaandaa watakaokuwa wanakusanya na kutangaza hizo habari.

12_11_rrasq2.jpg

Attachments

  • MAALIMU.jpg
    MAALIMU.jpg
    63.4 KB · Views: 47
Mwenzio Malaria sugu alikuja na thread yake ya "itv ina ubaguzi wa kidini" ikafungwa muda si mrefu, bahada ya kuonekana inaanza kuhatarisha amani na mshikamano tuliokuwa nao ndani ya JF. na wewe naona unaanza hayohayo. Hivi hamna kingine cha kuandika humu zaidi ya habari zinazoashiria udini?

Uwezo wao wa kufikiri ndio umeishia hapo.
 
Bornvilla,

Kwa nini dhehebu kubwa na linalotaka hadhi linashindwa hata na vi-NGO! Kuna kitu kinaitwa Social Marketing. Hii dhana kwanza inatambua umuhimu wa kuwa na mtu wa Uvumishaji na Masoko (Promotion and Marketing) si katika taasisi na makampuni yanayojiendehsa kwa kutafuta faida tu, bali hata katika asasi, Taasisi na mashirika yanasijiendesha kwa kutafuta faida.

Ni Taasisi na asasi zilizobaki zikikumbatia mtazamo wa kizamani tu ndo zinaathirika kwa kuwa na habari zisizofika kwenye hadhira kubwa zaidi yaani vyombo vya habari. Na kwa taarifa yako kina Pasco (waandishi) wa hawaji bila mwaliko labda tukio lile liwe ni ajali! Swali Je, mliwaalika?

Usitake kuniaminisha kuwa BAKWATA na lundo la matawi ya Taasisi ndogo ndogo zote e.g BATAMIKI etal hawana kitengo cha Habari! Hii itatia wasiwasi kuwa mmejenga msikiti kabla ya kuwafundisha watu kuswali! Namaanisha mnataka kumiliki chombo cha habari bila kuwa au kuwaandaa watakaokuwa wanakusanya na kutangaza hizo habari.

huo ni udini, mbona shughuli za wakristo waandishi wanakwenda na wanaripoti? Au wanapewa mlungula? Au kwa vile sisi waislamu hatutoi mlungula?
 
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?
Mimi nadhani hata mkifanikiwa kuizindua hiyo TV Imani bado mtaendelea kulalamika kuwa mbona TV yetu haitangazwi na TV nyingine. Watu wa ajabu sana!
 
Mmepeleka malalamiko yenu kwa maandishi kwa vyombo husika au kama kawa na mambo yetu ya kulalamika!Na je vyombo hvyo vilialikwa?Kama hawakualikwa kwanini waipe kiupaumbele?Au ule mtindo wetu mwingine dhanifu,kwamba watakuwa wanajua tu!Na je wahusika wa harambee wametoa tamko kuhusu ishu hii?
 
islamic jihad,..............tangazeni wakuu halafu sisi waumini tuandamane mitaani kushinikiza kutambulika kwa tv iman_au unasemaje sheikh
 
huo ni udini, mbona shughuli za wakristo waandishi wanakwenda na wanaripoti? Au wanapewa mlungula? Au kwa vile sisi waislamu hatutoi mlungula?

Chanel Ten ina wanahisa Waisalam. Je, walilitangaza tukio? Rejea swali la msingi Muliwaalika?

Unapomwalika Mwandishi au media house unapata walau uhakika wa tukio lako kupata nafasi katika habari za shirika lake. Unamrahisishia Mwandishi kuondoka rasmi ofisini, kupewa vifaa, kupewa nafasi ya taarifa yake iwe katika Tv au magazeti na hata akitaka kuendeleza hiyo habari inakuwa raisi kwake. Kwa mfano katika habari yenu kuna watu walitoa ahadi na si wote walitoa pesa taslimu. Baada ya muda mwandishi huyo huyo anaweza kuja kwa viongozi kutaka kupata mrejesho na maendeleo ya makusanyo.

Baadhi ya watu wa mlengo huu mwafanana na watoto wa Baba wa Kambo. Hata uwalee kwa mapenzi ya kufikia kutoa uhai wako, bado wataisi hata kufa kwako kwa ajili yao kuwa ni kuwatesa na kuwanyanyasa. Hawana kumbukumbu wala shukrani. Yaani ITV/Mengi ambaye aliwapa airtime miaka yote Bure ndo mnamsimanga hivi??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom