Harambee ya kujenga Kanisa

Lubaluka

JF-Expert Member
May 18, 2009
496
44
Askofu aliendesha harambee kuchangia ujenzi wa kanisa. Wakristo wakatoa Tshs. 75,050/= tu. Ghafla majambazi wakateka kanisa na kuamrisha kila mtu atoe alichonacho!!!

Majambazi wakakusanya Tshs.8,945,800/= cash, kisha wakamkabithi Askofu ili aendeleze ujenzi wa kanisa.

Je, majambazi wana dhambi au wakristo wanathawabu ??

Toa maoni yako......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom