Harambee ya kuchangia maendeleo KILOMBERO

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
Napenda kuchukua fursa hii, kutangaza nia ya kuandaa harambee ya kuchangia maendeleo katika jimbo la kilombero, Jimbo hili kwa muda mrefu limekuwa na bahati mbaya ya kupata viongozi ambao wana malengo ya dhati katika kuchangia kuleta maendeleo. Kwa hiyo wanakilombero ni jukumu letu sote katika kuhakikisha tunajitoa kwa hali na mali ili kufanikisha azma hiyo.
Ili kufanikisha azma hii naomba kupokea maoni, mawazo, mitazamo mbalimbali ili hatimaye tuweze kufikia malengo yetu ya kulifanya jimbo hili kuwa mfano.

Napenda kusikia hili! Michango ya Kitchen party, Harusi, Ubarikio mimi hainihusu tena. Kwa hili tupo pomoja
 
Nakuunga mkono kwani licha ya jimbo hili kuwa na rasimali nyingi limebaki nyuma kimaendeleo.Kuna viongzi wengi tena wenye nafasi nyeti serikalini wazawa wa jimbo hili lakini wamekosa uzalendo wa kuleta maendeleo.Big up I will be there!
 
Back
Top Bottom