Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

Wakuu, hivi kuna kingilio kwenye hiyo Harambee mbona watu wachache sana...naona wamejaa tu wabunge wa Chadema.
 
Kweli CDM ni moto wa kuotea mbali! yaani hiki ni chama makini chenye watu makini! yaani ukiipenda CDM
ni raha tupu.
Leo Broo Waberoya,Kimbunga,Mohamedi shossi,Thatha,Geneus Brain,Rejeo na Ritz wote hawa
hawapendi kuona hichi kitu kinachorushwa live na StarTv....yaani wanatamani kunywa sumu au Jeshi la JWTZ
livamie pale na wapateke kama walivyofanya wanajeshi wa mali. Lakini ndiyo hivyo tena,mungu akisema ndiyo
hakuna hawezae kusema hapana. Hongereni sana viongozi wa CDM!!!!
 
Watanzania wazalendo ndo wameanza harakati za kuchangia chama cha chadema ili kiwezeze kuikomboa tanzania kutoka kwa wakoloni weusi. ndo kipindi kimeanza. kama una access ya station ya startv twende pamoja.
 
Hiki chama kimeisha filisika aisee na huu ufisadi wa mabilioni ya sabodo na ruzuku ndio umewafikisha hapo kutembeza bakuli



GB!
Tumia kichwa kuleta post humu jamvini!
Eti hii chama imefilisika! Ifilisike na nini wakati inapigana kumkomboa Mtanzania aliye ktk hali hii?? Ruzuku ya serikali gani ya kuweza kuimarisha chama na ikawa chama?
sisiem imeneemeka na kodi ya Watanzania. Na tukiwa kama CDM tunachotaka ni UKOMBOZI kwa Watanzania na lazima wazalendo waijenge chama na siyo tuisubiri ruzuku feki.

Wanainchi wametaka kuijenga chama na wamepewa nafasi.
Kama wewe GB unajificha ndani ya mafisadi kaa humo lakini siku si nyingi utatoka na utakuwa mkombozi wa haki!

Tumia kichwa kutafakari!
 
hawa jamaa wamechoka ile mbaya hadi sasa wana tembeza bakuli, igunga walikuwa na pesa za wafadhili wanagawa ccm 30000, cdm 20000, utaweza wapi kushindana na ccm wanapesa za mafisadi, hao wa meru maisha yenyewe magumu halafu uwakamue shilingi zao, halafu wakupe kura mawe!!
rip cuf
 
M/Kiti wa CDM mkoa wa Arusha kaishafanya utambulisho wa viongozi mbambali! Mbowe, Slaa (PhD) ndani na baadhi ya wabunge (may be ni wote)!

Na sasa amekaribishwa Dr Slaa, ndio anaongea sasa!
 
Wakuu, hivi kuna kingilio kwenye hiyo Harambee mbona watu wachache sana...naona wamejaa tu wabunge wa Chadema.
Mutakunywa sumu mwaka huu! tukiwaambieni CDM ni chama makini mnatokwa na mapovu. Sasa si unaona hawa watu
walivyo makini?
 
Najua cynics wanabeza hii hatua ila waelewe kuwa ni jambo la kawaida tu na wanaosema CDM wameishiwa basi wao wenyewe ndo wamaishiwa kifikra. Bora hawa wanaharambee ya moja kwa moja kuliko wanaochukua pesa HAZINA kwa matumizi ya CHAMA na kusababisha Serikali kukata baadhi ya huduma muhimu!!!!
 
inafurahisha sana kwa kweli inatia moyo wakoloni weusi najua matumbo joto.
 
Back
Top Bottom