Harambee ya CHADEMA Arusha

Kama una namba za m pesa au tigo nirushie nikachangie. Hii inaleta umiliki wa chama kuliko kuendelea kuchangiwa na tajiri mmoja au fisadis for magamba support
 
Mkuu Nape,

Nakumbuka sana kwamba wengine huku tulishakukataza kuwajaza hawa WAPIGA KELELE wa CCM wasiokua na hoja yoyote yenye mantiki kichwani bali uhodari wao ni kwenye kuanzisha tu utitiri wa NYUZI hapa jukwani.

Hebu ona sasa wameleta hoja watu tukalidadavue neno kwa neno, nukta kwa nukta bila jazba wala kutumia HOJA ZA NGUVU, lakini kabla hata hatujashusha hata robo ya nondo humu vijana wako wao tayari wameshakula kona.

Anyway, wanasaidia sana kukitangaza vema CHADEMA bila ya wao kujua hilo kwa kukitaja tja zaidi ya mara 200 kutwa mara tatu. Na huo ndio ufurukutwa kwa CDM bila ya Magamba kujitabua.

Big up sama akina 'Ritz' na 'Dume la Rushwa' kwa kazi hii nzuri!!
 
Ww ni CCM kufa na hata rangi umetumia ya CCM . Na unampenda Dumela Mbegu, haya shauri yako yasije yakakutokea yakuvimba tumbo

Hiki chama kimeishiwa hivyo ? na nimepata habari za uhakika kuwa mwitikio wa sadaka ni mdogo sana mpaka sasa wamekusanya TZS 26M tu. TO HELL CDM !

Kwa CDM hiyo ni pesa nyingi sana...kama CDM walitumia Ml 6 kwenye kura za maoni Arumeru...wakati CCM walitumia Ml 200.
 
Mtachemka wenyewe, Hatuna pesa lakini tuna Mungu na watu wetu!

Mkuu hapo kwenye Mungu napingana na wewe Mungu ana ubaguzi Mungu ni wa wote, Mungu kawaumba Pro-Chadema, Pro-CCM, Pro- CUF na wengine wote, sasa usijifanye Mungu ni wa Chadema peke yake huo ufinyu wa mawazo.
 
Jamani mie bado nalia na Dogo Nape kwa kuwategemea hawa ma GREAT STINKERS wake waliomwagwa hapa jukwaani.

Kazi yao ni kudandia kila uzi lakini bila kutumia walau hata dakika moja kufikiri na kujiuliza kwamba wanachoandika kinaleta mantiki hata kama haina NGUVU YA HOJA.

Fikiria sana kabla haujawaleta akina Mzee wa Kudozi kwa ID ya 'Raia Fulani', Mzee wa kusahau akili nyumbani kila anaposafiri, Mbunge wa Mtera kwa ID ya 'Dume la Rushwa' hapo juu na hili lingine Esther Bulaya kwa ID ya Ritz; wote ovyo kabisa wala hakuna kitu pale!!!
 
Mkuu hapo kwenye Mungu napingana na wewe Mungu ana ubaguzi Mungu ni wa wote, Mungu kawaumba Pro-Chadema, Pro-CCM, Pro- CUF na wengine wote, sasa usijifanye Mungu ni wa Chadema peke yake huo ufinyu wa mawazo.
Mungu hana mahusiano na mafisadi wanaotumia nafasi zao kujali matumbo yao. Mungu siku yuko upande wa watu wanaojali wenye shida na kuteteta wanyonge.
 
Kuchangia chama ni jukuma la wanachama lakini ccm wao wanawapa wanachama pesa,kofia,tshirt na kanga naona wanachota Hazina hizo pesa hazina hata oditing.Sisi wacha tuchangie chama chetu tuwe na sauti lakini huku mwenye sauti akina Rostam na vijiseti na jamaa wa nywele nyeupe.
 
Nape kama ulikua unabisha basi sasa angalia huyu mwingine alivyoibuka kama vile kawasili tu akitokea kwenye sayari nyingine.

Mkuu William Malecela wewe ni kijana mmoja ambaye tunakuheshimu kutokana na hoja zako na wala si kutokana na vyeo alivyowahi kuvishika mzee wako; maadam nasikia umerudi hapa nchini kwa nini usimuweke huyu kijana wako Nape chemba apate kuelewa kwamba kelele za Clouds FM zisizo na mantiki juu ya CHADEMA zote zinageuka tu kheri kwa adui yake kinyume kabisa na malengo ya msingi???

Ingawaje jibu ninalo zito sana kwake huyu Dume la Rushwa lakini sioni haja ya kukimbizana na ...

Ww ni CCM kufa na hata rangi umetumia ya CCM . Na unampenda Dumela Mbegu, haya shauri yako yasije yakakutokea yakuvimba tumbo

Kamanda tarehe iko sahihi kabisa maana mimi yatari nina kadi yangu nitatia timu kuchangia chama langu kwa fujo! Ni Ijumaa ya Tar 23, March, Kuanzia saa 1:30 jioni. Itakuwa live starTV, kwahiyo kama hutahudhuria changieni kwa M-pesa, Tigo Pesa, na Airtel Money! Viva Chadema!

Yeah hapo nimekosea kweny tarehe, ni tarehe 23/03/2012.Sorry kwa hilo!
 
Hao hapo chini ndio wamiliki wa Chama Cha Mapinduzi Company Limited na huyo Mzee wa Kudozi ndiye Office Messenger wao hadi kupeleka ujumbe tata kule Arumeru Mashariki alitumwa na wakubwa hawa wenye kuchangia fedha CCM kwa 'ukarimu' mkubwa.

images
images
images
images
 
Mungu hana mahusiano na mafisadi wanaotumia nafasi zao kujali matumbo yao. Mungu siku yuko upande wa watu wanaojali wenye shida na kuteteta wanyonge.

Hata Chadema kuna ufisadi Mkuu...
Ebu watafute kina PAA, TUNTEMEKE, MWANAHALIS, TII. Watakupa habari za Chadema wewe ni Chadema-Kata huwezi kujua.
 
Hela ya ruzuku iko wapi ? Hela anazowapa Sabodo aka Kada wa ccm kila mwezi ziko wapi ?
[/QUOTE

Acha kufikiri kwa kutumia masaburi unadhani kazi ya ruzuku ni kampeni kama mfanyavyo magamba? Think big, shame on you
 
Mkuu hapo kwenye Mungu napingana na wewe Mungu ana ubaguzi Mungu ni wa wote, Mungu kawaumba Pro-Chadema, Pro-CCM, Pro- CUF na wengine wote, sasa usijifanye Mungu ni wa Chadema peke yake huo ufinyu wa mawazo.

kakudanganya nani Mungu Wa chadema ni Mungu wa Ccm?kila chama kina mungu wake!
 
Hiki chama kimeishiwa hivyo ? na nimepata habari za uhakika kuwa mwitikio wa sadaka ni mdogo sana mpaka sasa wamekusanya TZS 26M tu. TO HELL CDM !

Kama chadema kwa Arumeru imekusanya 26m basi basi CCM bai bai 2014.....
 
Wewe mnafiki, hizo milion 26 ni za wananchi walala hoi wanataka ukombozi, swala si kiasi cha pesa wanachotoa swala moyo wanaoutoa kwa chadema! Subirini mapinduzi yatakayotokea! Nyie si mnajivunia kodi za wananchi na michango ya mafisadi hongereni, but your days are numbered! Sisi tutakuwepo kuchangia chama letu!
26m zenyewe ni zile wananchi wanazo hongwa na ccm na kupelekea CDM....
 
Back
Top Bottom