Harambee kuichangia CCM itafanyika AICC na itarushwa TBC leo jioni

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Mara baada ya taarufa ya Habari,TBC watarusha walsha ya Kuchangia CCM katika ukumbi wa AICC Arusha,Wabunge na Wazari waliopo na wastaafu Mbalimbali watakuwepo...
Usikose kuitazama TBC...

Hawana ujanja huo maana hakuna rangi wataacha kuona
Is just a Joke...
 
Japo mimi sio mtu wa TBC, taarifa hii haiwezi kuwa kweli kwa sababu TBC ni Public Television paid by taxi payers money, hivyo kipindi cha uchaguzi haiwezi kurusha kipindi chochote favouring any political party!.
 
Walishatembeza bakuli dar kwa wahindi na waarab hata hivyo watu waligoma!
 
Hivi CDM huwa wanatoa taarifa ya mapato ya fedha zinazopatikana kutokana na makusanyo yanayofanywa na lile gari lao Vitara rangi nyeusi?
 
Hiki chama ajuza kinaiga kila ubunifu kutoka CHADE na ni jana tu walikua wanaponda hapa jukwani. Haya sasa kalambeni matapishi yenu hayo. Kwa hivo CCM nacho hivi sasa kinatembeza bakuli sio?????????

Mara baada ya taarufa ya Habari,TBC watarusha walsha ya Kuchangia CCM katika ukumbi wa AICC Arusha,Wabunge na Wazari waliopo na wastaafu Mbalimbali watakuwepo...
Usikose kuitazama TBC...

Hawana ujanja huo maana hakuna rangi wataacha kuona
Is just a Joke...
 
Hiyo CODE OF ETHICS Mshana hana kichwani labda ulimchanganya na Jembre Ulaya Mhe Tido Mhando hapo. Kule huwa ni ujima ujima tu kwa kutegemea Nchimbi kaamkaje na katoa MEO ya aina gani kwa siku husika.

Vijana vinatoa aina ya uongozi wa miaka ya '47 kuleeeeeeeeeeeeeee na bado unawasikia eti 'URAIS NAUTAKA' kwa mambo yao hayo hayo ya kitotooo!!!!!!!!!!

Japo mimi sio mtu wa TBC, taarifa hii haiwezi kuwa kweli kwa sababu TBC ni Public Television paid by taxi payers money, hivyo kipindi cha uchaguzi haiwezi kurusha kipindi chochote favouring any political party!.
 
Japo mimi sio mtu wa TBC, taarifa hii haiwezi kuwa kweli kwa sababu TBC ni Public Television paid by taxi payers money, hivyo kipindi cha uchaguzi haiwezi kurusha kipindi chochote favouring any political party!.

Sawa, wakati wa uchaguzi hawawezi kurusha vipindi vinavyofavour ccm, lakini wakirusha taarifa za habari zinazofavour ccm wanakuwa si public television paid by taxi payers money?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom