Harambee changia madawati yafana Mwanza chini ya Wenje

Wadau wenje kaonesha njia on participatory approach in development,wananchi walikua wengi sana,nlikunwa na ile style,mlemavu mmoja kaja kwa baiskeli yake na kuku wake wa skukuu ambae aliomba pasaka ale dagaa ili watoto wetu wakae kwa madawati,,ilikua inatoa hisia za ndani,,kuku akapigwa mnada kwa zaidi ya laki 2,,,umoja wa madreva tax wakawasilisha mchango wao,,,umoja wa machinga,,mama lishe,,na kada kadha wa kadha zilijumuika hiyo jana,
umati ulikua mkubwa sana na mgeni rasmi alikua mtoto wa raila odinga akiwa na msafara wa watu 6.nao kwa umoja wao waka tuchangi jumla ya ksh laki sita sawa na milioni 12 za kibongo....
Wenje alikuja na mkewe,mamake plus children.....mkutano ulificha hisia za kisiasa lakini baada ya kuitwa kwa wawakilishi mbalimbali kutoka ndani ya vyama na serikali bila mafanikio,,umati ukabaini kua hiyo kumbe ilikua kazi yetu wana cdm,,,nahapo ndpo salamu zetu zkaanza kuchukua nafasi moaka wageni toka kenya nao wakaiga peopleeeeeeeeeeeeesssssssss.....powerrrrrrrr
duuu ilikua raha sana,,,mwiiisho lakairo(mb wa rorya ntakae mmaliza 2015 kupitia chama makini cdm)akatuma cheki yake ikiwa na milioni 5,,,alipongezwa na umma kwa ujasiri wake,,,,
nadhani kama milioni 50 zilipatikana na kazi itaanza rasmi ambapo kwa mujibu wa mb.wenje madawati yatatengenezwa kwa kutumia nailoni,,haya manaylon tunayotupa kwani ipo kampuni inayookoa uharibifu wa mazingira kwa kukusanya naylon na kuziyeyusha na baadae kutengeneza madawati,,jana hyo hyo tulioneshwa moja la sampple ambalo lilikua imara kwani wanaume waloshiba walipanda juu yake na liliishia kubonyea tu,,,,ni imara na yanawea last 4 15 yearz....
Viva wenje 4 the plan,,,,,,lakini pia nligundua kwamba kwa mwz..ccm itaendelea kua chama cha upinzani kwa mda mrefu zaidi kama style hizi aka rafu hizi zitaendelea,,,siunajua ccm kama cdm wakileta changamoto za maendeleo wanadai tunawachezea rafu????coz huwezi waibia kura,,huwez tumia polisi,,,hzo ndo rafu zetu ...kuwapa wananchi maendeleo.....
Ni mimi a classrooom teacher,,,,i will kill ccm trough my teachings in the class
cdm 4everrrrrrrrrrrr

Me love this. Viva Chadema!:israel:
 
asante sana mleta hii taarifa ingawa umeichakachua sana. Kweli harambee ilifana sana na mi nilichanga pale diwani wangu wa kata ya pamba alipokuwa akipita na peseni katikati ya halaiki.

Yote kwa yote nilifurahi sana sana nilipomwona my first girl friend tuloachana 1996 na mama yake wamekuja kujumuika na kuchanga kama wanawake wa mwanza.
Huyu my x alinambia wao walihudhuria tangu asubuhi nikajiona mi nimetenda dhambi kwa kuhudhuria jioni.

Mwanza ccm imekufa.
nimechakachua nini??mimi nimeripoti yoote nliyoyaona lakini meengi zaidi nikayaacha....sijatia chumvi licha ya kuonesha mapenzi yangu waziwazi dhidi ya cdm...nakipenda hiki chama...cdm 4ever
 
CHADEMA tuna mungu bali wao CCM wana poliis, amri na mahakama.
Peoples.............. Power........
Solidarity forever.

Viva chadema viva!vivaaaaaa!viva viongozi wote wa chadema viva!vivaaaaaaaa! Viva wabunge wote wa chadema viva!vivaaaaaaaa!viva makamanda wote wa chadema viva!vivaaaaaaa!viva marafiki wote wa chadema viva!vivaaaaaaaa! Viva Tz viva!vivaaaaaaaa!CHADEMA KAMATA MWIZI MEEEEEEEEEEEEEEEEEEN!
 
yaani imefika kipindi wazee wetu wa mwanza wanakuwa athaminiwi kiasi hiki hadi mgeni rasmi wa harambee awe mjaruo wa kenya kisa mbunge ni mjaluo wa kenya, nafikiri tunahitaji upendeleo na uzawa zaidi kwenye mambo ya msingi kama hayo hawa wageni wamezidi kutidharau amkeni ndugu zangu wa mwanza kwa nini mgeni rasmi asiwe mzee KAFITI?
 
wewe mnafiki endelea na chuki zako za kibaguzi
 
yaani imefika kipindi wazee wetu wa mwanza wanakuwa athaminiwi kiasi hiki hadi mgeni rasmi wa harambee awe mjaruo wa kenya kisa mbunge ni mjaluo wa kenya, nafikiri tunahitaji upendeleo na uzawa zaidi kwenye mambo ya msingi kama hayo hawa wageni wamezidi kutidharau amkeni ndugu zangu wa mwanza kwa nini mgeni rasmi asiwe mzee KAFITI?
Atatoa pesa? Ama ndiyo laki 5!
 
Back
Top Bottom