Harakati za Kumng'oa James Mbatia ktk NCCR-Mageuzi zakolea

mambo yote mema huishia kwenye vikao wakae naye wamweleze matatizo/mapungufu yake ndiyo njia sahihi kisha kama kuna ulazima wa kumuondoa basi ifanyike kwenye uchaguzi wa chama

kumfukuza haikuzi demokrasia ya kweli

hizo ni sera za magamba fukuzia mbal, mi najua ataenda ccm, ndo hapo '

Kama mmbo yenyewe ni huyu Mhe Ruhuza basi nawaambieni leo hii kwamba sitoshangazwa saaaaaaaaaaana kuja kugundua kivuli chake Zitto Zuberi Kabwe kutafutia Wanamagmba wanafukuzwa huko CCM lango la pili la kutokea kimtindo hapo 2015 kwa kukimega CDM.

Watch this space kwa kuzingatia viji-doti doti kibao za hapa katikati ndani ya kipindi tu cha miezi 6 iliyopita. Kwani wana-NCCR Mageuzi wamepata wapi ughafla huo wote wa kumfukuza kazi mwenyekiti wao huyo hali ambalo hawakuweza kuliona tangu hapo jana???????

Wapo watu ambao wanatambua wazi kwamba kama ni sahani basi wameshaitia haja kubwa huko CCM hivyo dili ni kukimbilia chama mbadala na kuwatimulia mbali hao akina Mbatia baada ya kupiga mahesabu kwamba CHADEMA hakuingiliki.

Anyway, tuko hapa kuangalia hizi karata tatu za makuwadi wa Mafisadi ndani ya CCM. Wengi wenye kuona mbali wanajua CCM kinatambua uhakika wa kifo chake hivyo kwa sasa kiko bize kutafuta maisha mapya kwa njia za chini ya bahari kama hivi ya Mbatia na NCCR yake hiyo..

Mbatia,Ni kosa kubwa sana kuwa na VIONGOZI toka KIGOMA,kwa mtazamo wangu na jinsi ambavyo nimepata kuwaona watu wakigoma,ZITO,KAFULILA,RUHUZA,KAKOBE,MKUU WA CHUO CHA USTAWI hawa ni watu wa KIGOMA,,,kama hawashika nyadhifa watakuangusha tuu sababu ni watu wa madaraka zaidi..,Wakipata lazima watang'ang'ania.Sijagusa utendaji wao...nimegusia tabia zao....Kwa matazamo huu tayari MBATIA alishavuliwa uenyekiti tangu waliposhinda viti vya ubunge KIGOMA,na chanzo cha mgogoro utakuta kimeanzia kigoma HUKO TANGA zubaisha nbwege tuu.

acha ukabila bwana mdogo erick !mbona nyie watu wa magamba mnapenda sana kutugawa watz?
Badala ya kujenga hoja ya mtoa hoja unakimbilia kwenye ukabila .kwani mlalamikaji kuna sehemu kaongelea ukabila hapo?kama huna cha kuchangia si ukae kimya? Umekimbia fb umekuja huku jf umekosea bora ungebaki hukohuko fb maana huku lazima uwe great thinker si poyoyo wa kufikiria.nyambaf zako
Kweli mkuu kwani hujui humu jamvini magamba wapo kwa ajili ya kuvizia upenyo wa kugawa kwa misingi ya UDINI au UKABILA!!??

Poor James Mbatia, he has lost popularity and there is no other way but to go!! that's politics!!

Mbatia,Ni kosa kubwa sana kuwa na VIONGOZI toka KIGOMA,kwa mtazamo wangu na jinsi ambavyo nimepata kuwaona watu wakigoma,ZITO,KAFULILA,RUHUZA,KAKOBE,MKUU WA CHUO CHA USTAWI hawa ni watu wa KIGOMA,,,kama hawashika nyadhifa watakuangusha tuu sababu ni watu wa madaraka zaidi..,Wakipata lazima watang'ang'ania.Sijagusa utendaji wao...nimegusia tabia zao....Kwa matazamo huu tayari MBATIA alishavuliwa uenyekiti tangu waliposhinda viti vya ubunge KIGOMA,na chanzo cha mgogoro utakuta kimeanzia kigoma HUKO TANGA zubaisha nbwege tuu.

Mimi sio mwenyeji wa Kigoma lakini kwa kusoma tu makala yako naona dalili za ukaburu. Huwezi kutupa lawama kwa jamii nzima ya wananchi wa Kigoma kwa sababu tu ya mifano ya watu watano uliowataja bila kueleza kwa kiasi gani wamechangia mgogoro husika. Hii waingereza wanaita "stereotyping"kama sijakosea. Sijui neno la kiswahili linaloelezea dhana hiyo.

Ungeitendea haki hoja yako kama ungehusianisha hoja zilizotolewa na mtoa mada wa awali na hizi tuhuma dhidi ya watu wa Kigoma. Kuhusu Zitto Kabwe mimi ninafahamu kuwa yupo CHADEMA sijaona ni jinsi gani anaingia kwenye huu mgogoro wa NCCR mageuzi. Huyu Mkuu wa chuo cha ustawi mimi simjui lakini nafahamu kuwa viongozi wa taasisi za umma hawawezi kuwa viongozi wa siasa na sijaona uhusiano wake kama mkuu wa chuo cha ustawi wa jamii na mgogoro wa Mbatia na wenzake.

Kama mmbo yenyewe ni huyu Mhe Ruhuza basi nawaambieni leo hii kwamba sitoshangazwa saaaaaaaaaaana kuja kugundua kivuli chake Zitto Zuberi Kabwe kutafutia Wanamagmba wanafukuzwa huko CCM lango la pili la kutokea kimtindo hapo 2015 kwa kukimega CDM.

Watch this space kwa kuzingatia viji-doti doti kibao za hapa katikati ndani ya kipindi tu cha miezi 6 iliyopita. Kwani wana-NCCR Mageuzi wamepata wapi ughafla huo wote wa kumfukuza kazi mwenyekiti wao huyo hali ambalo hawakuweza kuliona tangu hapo jana???????

Wapo watu ambao wanatambua wazi kwamba kama ni sahani basi wameshaitia haja kubwa huko CCM hivyo dili ni kukimbilia chama mbadala na kuwatimulia mbali hao akina Mbatia baada ya kupiga mahesabu kwamba CHADEMA hakuingiliki.

Anyway, tuko hapa kuangalia hizi karata tatu za makuwadi wa Mafisadi ndani ya CCM. Wengi wenye kuona mbali wanajua CCM kinatambua uhakika wa kifo chake hivyo kwa sasa kiko bize kutafuta maisha mapya kwa njia za chini ya bahari kama hivi ya Mbatia na NCCR yake hiyo..
Mbatia akiondoka migogoro lazima itaanza tena Chadema.

Zitto yupo kazini? Sijui watakuwa wote na Shibuda? Mbna mkakati wake mkuu n kuhamia NCCR kisa u-preseda. 2015

Mbatia,Ni kosa kubwa sana kuwa na VIONGOZI toka KIGOMA,kwa mtazamo wangu na jinsi ambavyo nimepata kuwaona watu wakigoma,ZITO,KAFULILA,RUHUZA,KAKOBE,MKUU WA CHUO CHA USTAWI hawa ni watu wa KIGOMA,,,kama hawashika nyadhifa watakuangusha tuu sababu ni watu wa madaraka zaidi..,Wakipata lazima watang'ang'ania.Sijagusa utendaji wao...nimegusia tabia zao....Kwa matazamo huu tayari MBATIA alishavuliwa uenyekiti tangu waliposhinda viti vya ubunge KIGOMA,na chanzo cha mgogoro utakuta kimeanzia kigoma HUKO TANGA zubaisha nbwege tuu.

Acha UBAGUZI wako kaka.
Miezi minne ambayo umekuwa humu bado hujajifunza tu.

Mbatia,Ni kosa kubwa sana kuwa na VIONGOZI toka KIGOMA,kwa mtazamo wangu na jinsi ambavyo nimepata kuwaona watu wakigoma,ZITO,KAFULILA,RUHUZA,KAKOBE,MKUU WA CHUO CHA USTAWI hawa ni watu wa KIGOMA,,,kama hawashika nyadhifa watakuangusha tuu sababu ni watu wa madaraka zaidi..,Wakipata lazima watang'ang'ania.Sijagusa utendaji wao...nimegusia tabia zao....Kwa matazamo huu tayari MBATIA alishavuliwa uenyekiti tangu waliposhinda viti vya ubunge KIGOMA,na chanzo cha mgogoro utakuta kimeanzia kigoma HUKO TANGA zubaisha nbwege tuu.

ndugu ruhuza hatokei kigoma bali anatokea wilaya ya ngara mkoani kagera na ni muhangaza japokuwa wanaelewana lugha na watu wa kigoma.

Back
Top Bottom