Harakati Za Kuizika CCM

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
CCM imekuwa chama changu maisha yangu yote. Baada ya ukatili alofanyiwa Dr. Ulimboka, wizi wa rasilimali zetu hasa mabillioni kufichwa Uswisi, raia wanaodai haki wanafanyiwa ukatili ilhali majambazi yanalindwa, natangaza rasmi kifo cha CCM na viongozi wake. Wawekeeni alama kwenye vipaji vya nyuso zao ili siku nguvu ya umma utakaposhika hatamu, haya majambazi yote yafanyiwe yale yalomkuta Kanali ghadafi. hii ndio lugha wanayoielewa

Nawaomba wazalendo wote wanaoitakia mema taifa letu kukihama CCM na kuingia upinzani. Ninayo nafasi kubwa ndani ya CCM, ila haya madaraka ni mpito na dhamani mliyotupa wananchi. Natangaza rasmi kuingia upinzani uli kuikomboa taifa. Tunakoelekea ni kubaya, hii nchi imekwisha, Dhaifu , legelege, JK jiuzulu hauna hadhi ya kuwa rais. Nitangaza siku chache zijazo kukihama Chama Cha Maharamia
 
Back
Top Bottom