Harakati mapenzini.....!

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Jamvini nimefika kueleza yanayonisibu! Nimekuwa na mchumba wangu kwa miaka9 toka nasoma sekondari enz zile, tulikuwa tumepanga kuoana 2014 baada ya kueweka mambo sawa! Mwaka jana nilmtoa bikra() baada ya hapo ameniwekea ngumu hadi nimuoe, siku ya Wanawake duniani alinitumia ujumbe "wanawake tunaweza hata tusipowezeshwa, taasisi ya ndoa na sheria kandamizi zisitumike kumnyanyasa mwanamke...!" sikumjibu then akanitumia "harakati zimeanza, plz usiniambie tena maswala ya k*.f.n* mpaka unioe, ukiwa unahitaji ng*n* tafuta mwanamke mwingine...." nimeingia kwenye utata kwan hata nikisubiri je kwa harakati hizi kwenye ndoa itakuaje?
 
Kwani wewe ulikuwa na nia gani kwake...kwa miaka 9 uliyotumia inatosha kukupa confirmatory test ya kutosha na wala haina haja ya kuuliza ushauri..otherwise ulikuwa hujampenda.
 
vuta subra ndugu, but mulika mwizi. isije ikawa kuna njemba anapewa. lol
 
Jiweke pembeni mapema mkuu, Uanaharakati na ndoa ni kama pilau na mlenda.
 
tafuta kitu ingine kikali kuliko yeye afu pita nae mbele yake ukiwa umemshika kiuno uone kama ataendeleza huo uanaharakati wake.
 
nawewe ulimtoa bikra kwa kumbaka,
nakumbuka wangu baada ya kumtoa tukajenga kibanda!
kutoa bikra yahitaji utaalamu bwana!
 
wengine wako hivyo ukishawatoa utepe wanakuwa na noma na hali fulani hivi kama ya kususia au kutest. Mpe lugha laini za kubembeleza na matumaini pia kama wewe mzoefu kuna kipindi unasusa siku 2 huku ukicheki upepo.
 
wengine wako hivyo ukishawatoa utepe wanakuwa na noma na hali fulani hivi kama ya kususia au kutest. Mpe lugha laini za kubembeleza na matumaini pia kama wewe mzoefu kuna kipindi unasusa siku 2 huku ukicheki upepo.

ok thanx!
 
miaka tisa si mchezo pia mi nahisi ulikuwa huna lengo nae baya so kwan usimuoe, huo uwana harakat ameuanza baada ya kuona umeanza kumpiga chenga ya kumuona kahisi utakuwa unataka ngono tu.
 
Ushamega apple unaanza visingizio enhee?? Subiri 2014 mtimize ahadi yenu na hapo ndipo mtakuwa na uhalali wa kungonoka.
 
Ogopa masichana kama hayo kuingia nayo kwenye ndoa kila siku mtakuwa msolve migogoro kama vipi usipingane nae kwenye hilo ila tafuta mtoto mzuri uwe unajilia tartiibu alafu kila kitu akiongea mjibu "haya mwanaharakati" hali hiyo itamboa atajiona ***** tuu baadae.
Raha ya msichana awe na misisimamo kwa extenal people sio kwa mpenzi wake TUPA KULE MISIMAMO BONGO BWANA ,TABIA NI BORA KULIKO MABIKRA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom