Haraka! Mkalimani anayejua kiarabu na kiingereza

Mwanagandila

Senior Member
Oct 9, 2011
182
100
Anahitajika mkalimani anayejua lugha ya kiarabu na kiingereza haraka sana.
kazi ni kuwaongoza wageni kutoka uarabuni kwa muda wa siku 3 kuanzia mchan huu.
anayeweza kazi hii haraka an PM
 
Mi najua Kiarabu na kiswahili, vipi naweza kuomba tenda?
 
Ana arif kuul lughat arabia,ana arif shuweiya ingiliziyah,anaa fii ynak arakam telifon sifur sabaa hamsa arba sifur tisaa wahed sabaah hamsa sifur
 
Back
Top Bottom