Happybirthday to you

Sep 2, 2012
48
7
Siku moja usiku jamaa mmoja na mkewe wakati wakiwa ndani wamepumzika walisikia nyumbani kwa jirani yao wanaimba wimbo na maongezi yao yakaanza kama ifuatavyo;

Mke:Mme wangu,kuna nini kwa majirani zetu?

Mme:Kunna birthday.

Mke:Ya nani?

Mme:Itakuwa ya TUYU.

Mke:TUYU!!!!!! ndo nani?

Mme:Mi mwenyewe simjui ila nasikia wanamwimbia
"Happy birthday TUYU!!!!,Happy birthday TUYU!!!"
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom