Happy Women's day wadada wetu wa hapa JF

Happy Women's day

whatever.....namuunga mkono NN....I love my woman everyday....kila kinachosisitizwa kwen hii siku, naamini nafanya. Everyday. sasa mi naona ni nafasi tena ya posho, makongamano, warsha, semina na mwisho wa siku, molestation of the woman's dignity....
 
Lazima kuna watu wananufaika kifedha!
 
Lazima kuna watu wananufaika kifedha!
NN Mkuu, hii wala sio dhana bali ndio ukweli. Hujawahi kuona Siku ya Mei Dei ambapo "viongozi wote wa kitaifa: kuanzia raisi hadi diwani" wanaelekea mkoa mmoja kwenda kumkabidhi "Mfanyakazi bora" shilingi laki mbili?

Sipingi uwepo wa hii siku na nyengine zote za maadhimisho, kwan ni njia nzuri ya kutathmini kilchofanyika na kuandaa malengo mapya, bali ninapinga watu kuwatumia walengwa kwa kujaza "maboksi" yao (lol) ambayo yako wazi pande zote.
 
dah ubarikiwe mkuu kwa kukumbuka viumbe hawa wanapambanaji ktk jamii.all women,i wish you happy womens day God bless you
 
Thanks S. I, for the lovely women's day wishes. Be blessed.
Happy Women's day to all women all over the world
 
Back
Top Bottom