Oh precious oh precious please be mine
I want to be your Valentine
I'll do anything to be your rose
I want to be the Valentine you chose
Hold my hand and don't let go
Open your heart and feel our love grow
Lock me in your heart just for a day
Feeling your love while reality fades away
I'll wait year after year
Crying and sobbing tear after tear
Oh precious oh precious please be mine
I want to be your Valentine!
Kuna kitu umrkiruka umetuchakachua mbona ujasema baada bend mliishia wapi habari hii siyo kamili!!
Mimi nilijifanya kuiga mambo ya kizungu, jamaa alikuwa kasafiri ndio anarudi siku hiyo ili tuwe wote kama saa tatu usiku,nikaweka mishumaa mingi nikaiwasha, then nikazima taa siting room ile naenda chumbani kuvaa kurudi mishumaa imeshika pazia nikaanza kuzima nikalivuta pazia hadi chini then nikafanikiwa kuzima wakati wa process yote hiyo nilivunja chupa ya champaign, yaani sina hamu ,jamaa anaingia home hakukuta suprise yeyote zaidi ya mimi niko rafu nywele zimenitimka kama nimepigwa na shoti ya umeme. khaaa! sitasahau. kunipoza akanichukua tukaenda lala hotel. lol nyingine ni nzuri tu
nakumiss sana naona umenijia na avator matata opcorn:Asante nawe pia mic u mate
nakumiss sana naona umenijia na avator matata opcorn:
Jamaa yangu kaondoka hasubuhi
Kanijia saa 6.30 ucku amelewa hoi na ua lililochakachuliwa .
Huyu naye ni mpenzi kweli?