Happy Valentine's day ...from Babu DC.

Happy St. Royantine's day Smiles.....smiles makes it a good one!
BTW: sorry Babu retired maja jenero, nimedandia sredi......

Usiwe na shaka mkuu,
Jimwage tu..Raha ya babu ni kuwaona wajukuu wakiwa na amani, furaha na upendo. Wewe tu!
 
Teamo anawatakia sherehe njema ya Mtakatifu Valentine Siku ya leo
tar 14/02/2011.

Tuwe na amani

Tuwe watulivu

Tuwahi kurudi nyumbani tukae na familia na watu tunaowapenda
zaidi,naamini kwamba kwa siku ya leo familia yako (wife/husband and
kids) watakuwa wanakuhitaji sana


Kwa wale singles naomba tusiitafsiri vibaya siku hii takatifu....!
tusiigeuze kuwa siku ya kufanya uasherati.Tutakuwa tunapoteza ladha ya
sherehe hii pendwa

MUNGU AWABARIKI SANA


Teamo

Kweli dogo umeongoka!!!

Kwa kauli hiyo unamaanisha kuwa ile club yenu maarufu ya ma.infii at least imesitishwa kwa leo?

Furaha ya babu ni kuona wajukuu wanacheza, tena salama wasalimini!
 
Orait.... Ila taratibu Finest akisikia atanisemea kwa babu na Pope....
Yaani mi mlinzi wako sijui chochote hapo kwenye RED? lini ulinitoroka? Kweli Itabidi nirudi Depo tu hapa nimezidiwa mbinu..lol:angry:
 
Yaani mi mlinzi wako sijui chochote hapo kwenye RED? lini ulinitoroka? Kweli Itabidi nirudi Depo tu hapa nimezidiwa mbinu..lol:angry:

Ooops!! My protector! Those are my legal guardians....
Si unajua inavyokuaga eeh....:becky:
 
Ooops!! My protector! Those are my legal guardians....
Si unajua inavyokuaga eeh....:becky:
Kimey anarudi shule akosome law awe legal guardian wa Smiles, Kimey anarudi Depo kuongeza ujuzi na mbinu bora aweze kumprotect vizuri Smiles!
 
Back
Top Bottom