Happy Valantine DayAll Jamii Forum Members

Tanmo niliomba sana aise tena leo tuu nikatoswa mbaya aise
Ngoja nifikirie kwenda kumuona maana bado usiku mrefu sana
Japo kwao kuna masaia korokoroni na dingi mkali mbaya.
 
thanks, love you Preta ooh! I mean Ndallo.

watu wamemlove Preta halafu wamemwacha kwenye mataa. Sasa unavyosema i love you Preta unamfanya moyo wake unapiga paaa! Halafu kinafuatia kilio cha haja... Ndallo na Mtu chake siyo watu kabisa! Lol
 
watu wamemlove Preta halafu wamemwacha kwenye mataa. Sasa unavyosema i love you Preta unamfanya moyo wake unapiga paaa! Halafu kinafuatia kilio cha haja... Ndallo na Mtu chake siyo watu kabisa! Lol

valentine bado haijaisha labda Ndallo anataka kumfanyia surprise lakini kama vipi Preta anaweza kuja kwa Rector mwenyewe hapa nafikiri ata enjoy!
 
Back
Top Bottom