Happy new year wana jf

ikizu

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
431
56
Namshukru Mwenyezi Mungu mimi nimeuona mwaka mpya wa 2012.
Mwaka mpya nimeuona baada ya jua kuzama maana ndiyo mpango wa Mungu maana siku huhesabiwa pale jua linapo zama na ndo hivyo Mungu alivyozihesabu siku angalia Biblia kitabu cha Mwanzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom