Happy mothers day..... Do we appreciate our mothers???

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,078
Tarehe ya leo (8/May) ni tarehe ambao ni siku ya akina mama duniani (si inchi zote) uhitimishwa. Mama amekua akisifiwa kwa malezi yake mazuri juu ya mwanae ikiaminika kua hufanya lolote lile bila kujali yeye personaly laweza kumdhuru namna gani. Ingawa inaonekana idadi ya akina mama wasiofaa katika jamii inakua; bado nafasi yake ni kubwa hivyo kutambulika na kukubalika. Nikitaka niorodheshe nafasi na vitu ambavyo mama zetu wamefanya juu yetu na ambavyo pengine ni vigumu kwa yoyote kukufanyia, nitachukua siku nzima.

Bahati nzuri ni wengi ambao wamejaliwa kulelewa na mama zao na kupata experience za utamu wa mapenzi ya mama directly. Kuna wale ambao hawajajaliwa kulelewa na mama yao kwa sababu nyingi na tofauti hivyo kukosa hiyo bahati ya kupata Mapenzi ya mama moja kwa moja (my heart goes to all who have never met their mothers or lost them too young).

Hivyo basi kwa kutimiza na kuhitimisha siku hii kubwa ya MOTHERS DAY naomba tuendelee kukubushana marafiki, ndugu na jamaa kua tuna haki ya kuwapongeza all the mothers popote walipo. Kupongeza si lazima awe mama yako tu mpongeze mama yoyote Yule ambae yuko responsible kwa watoto wake for The idea of celebrating Mother's Day the world over is to pay tribute to mothers for all their love and support and to make them feel special.

Kwa JF members woote ambao ni MOTHERS, najua kua kweli ni kazi ngumu mno kua a good MOM mkitegemea sana kulea kwa kutumia instincts; kikubwa inatakiwa ujue if you are trying your level best on your kid, then you are a good MOM

I dedicate the song “A Song for Mama by Boyz II Men” to all the MAMA’S out there……

N;B Leo ndo ile nafasi ya kusema siku zote uko busy, walau mtembelee, una uwezo mnunulie zawadi, umeshindwa mpigie simu na umwambie kua unampenda and you are proud of her....
 
Happy Mother's Day to all JF Mothers. May God bless you all for your unconditional love, special dedication and efforts to your beautiful Children. HAPPY MOTHER'S DAY

2872.gif

http://www.youtube.com/watch?v=F9TSxaDwd2I&feature=related
 
SMU well said.. I Bet your mom is proud of you...
 
SMU well said.. I Bet your mom is proud of you...

Unajua Asha, tulipokuwa wadogo sometimes tulikuwa tukiwatendea mama zetu visivyo...lakini baada ya kukuwa na pengine kama tumejaaliwa watoto, tunaanza kuona uzito na umuhimu wa mama na machungu anayopitia kuhakikisha ustawi wa wanae!
 
Unajua Asha, tulipokuwa wadogo sometimes tulikuwa tukiwatendea mama zetu visivyo...lakini baada ya kukuwa na pengine kama tumejaaliwa watoto, tunaanza kuona uzito na umuhimu wa mama na machungu anayopitia kuhakikisha ustawi wa wanae!


Ni wachache saana ambao wana appreciate hilo. yaani katika mwanadamu ambae kachukuliwa for granted ni mama, Najua nivigumu siku zote kumwambia mama nakupenda, au kumnunulia zawadi etc. Hivyo naamini saana kua siku kama ya leo inakupa nafasi hio - imagine unaenda kwa mama yako na unamwambia; "Mom nataka ujue namshukuru Mungu wewe ni mama yangu na asante kwa kunikuza..."
 
Thanks Ejogo and all wana JF, we promise to be good moms forever..!!
N70 all the best dear... the above in red i know deeply that it is a guarantee.... Wish you luck with your child(ren)
 
Nampenda sana mama angu...she rlly touches ma heart,Mungu awabariki akina mama wote wenye kujitambua na kutimiza wajibu wao wa u-mama,be blessed!!
 
Im very proud to be a mother, thanx Asha happy Mother's day


I dont know you but i do like you.... I can not imagine the extent of the love from your child (ren)... Viva forever all the Mothers...
 
Hahahaha hahahaha hey Asha, I just got this massage from my son "Having to call you my mom is the sweetest feeling ever.. i hate it when you yell at me, scold or even hit me.. but its all because you want me to be a good boy!!! Am lucky havin you in my life.. I will treassure you 4rever!! love youuuuuuu n HAPPY MOTHER'S DAY!!!!!!!!!!!......" Umeona eee najisikia raha ajabu
 
Back
Top Bottom