Happy mother's day 2 all mamas in jf'

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Nani kama mama'jibu ni rahisi hakuna'mlitubeba tumboni miezi tisa hukuchoka'tena waume wengine wakirudi nyumbani wamelewa'lakini ulikuwa mvumilizi miezi tisa ilipokwisha ulijifungua kwa shida sana'na bado hukututupa jalalani ulinilea hata kama aja ndogo na kubwa ulinisafisha'ulivika nguo mpaka kunilisha mpaka sasa nimukuwa naamini'no one like mama'
 
Thanks Majanikv kwa kutambua umuhimu wa mama hapa ulimwenguni. Kuwa na moyo huohuo, wathamini wanawake wote waliokuzunguka na ujue umuhimu wao pia. Mungu akubariki
 
Ninapofikiri namna nilivyofikia umri nilionao na maisha ninayoishi, shukrani zote nampatia MAMA ambaye kwa muda mrefu alihakikisha sisi wanae tunakuwa na maisha salama na hasa kipindi ambacho BABA alikuwa na matatizo na sheria kandamizi za Tanzania hasa miaka ya 80, nawapongeza kina MAMA wote. Love
 
Nani kama mama'jibu ni rahisi hakuna'mlitubeba tumboni miezi tisa hukuchoka'tena waume wengine wakirudi nyumbani wamelewa'lakini ulikuwa mvumilizi miezi tisa ilipokwisha ulijifungua kwa shida sana'na bado hukututupa jalalani ulinilea hata kama aja ndogo na kubwa ulinisafisha'ulivika nguo mpaka kunilisha mpaka sasa nimukuwa naamini'no one like mama'

Asante kwa kutu appreciate all the Mamas....
 
Nashukuru pia amini nyumba bora hujengwa na mama asikudanganye mtu pia kwa wakina baba jamani tusiwatupe hawa jamani tuwajali tuwapende'
 
Nani kama mama'jibu ni rahisi hakuna'mlitubeba tumboni miezi tisa hukuchoka'tena waume wengine wakirudi nyumbani wamelewa'lakini ulikuwa mvumilizi miezi tisa ilipokwisha ulijifungua kwa shida sana'na bado hukututupa jalalani ulinilea hata kama aja ndogo na kubwa ulinisafisha'ulivika nguo mpaka kunilisha mpaka sasa nimukuwa naamini'no one like mama'

thanx!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom