Boflo JF-Expert Member Jan 20, 2010 4,384 4,409 Oct 30, 2012 #1 Leo ni Sikukuu ya Watu wasiotumia Condoms duniani, Wish kwa wote ambao unajua hawatumii condoms.. Salam zangu ziwaendee Bujibuji , Sikonge ,Preta Kaunga ,snowhite ......
Leo ni Sikukuu ya Watu wasiotumia Condoms duniani, Wish kwa wote ambao unajua hawatumii condoms.. Salam zangu ziwaendee Bujibuji , Sikonge ,Preta Kaunga ,snowhite ......
Don Mangi JF-Expert Member Nov 1, 2010 2,198 852 Oct 30, 2012 #3 Boflo said: View attachment 69753 Leo ni Sikukuu ya Watu wasiotumia Condoms duniani, Wish kwa wote ambao unajua hawatumii condoms.. Salam zangu ziwaendee Bujibuji , Sikonge ,Preta Kaunga ,snowhite ...... Click to expand... Kwa wanaotumia itaitwaje? 'mbichi mbichi day?'
Boflo said: View attachment 69753 Leo ni Sikukuu ya Watu wasiotumia Condoms duniani, Wish kwa wote ambao unajua hawatumii condoms.. Salam zangu ziwaendee Bujibuji , Sikonge ,Preta Kaunga ,snowhite ...... Click to expand... Kwa wanaotumia itaitwaje? 'mbichi mbichi day?'
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,864 155,819 Oct 30, 2012 #4 Boflo, hivi kondom ndio zinatumika kuzibia pancha za baiskeli??? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,374 Oct 30, 2012 #6 hao uliowataja ndo hawatumii protection ? Kuna haja ya kwenda kuwapima my brother Sikonge ...hebu nambie ya kweli hayo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
hao uliowataja ndo hawatumii protection ? Kuna haja ya kwenda kuwapima my brother Sikonge ...hebu nambie ya kweli hayo?
Z Zero One Two JF-Expert Member Sep 16, 2007 9,347 3,023 Oct 30, 2012 #7 Condom billion 9 hutumika dunia nzima kwa mwaka, Leo mzipumzishe nazo ziczini... Lol!
Mungi JF Gold Member Sep 23, 2010 16,975 9,566 Oct 30, 2012 #8 Boflo said: View attachment 69753 Leo ni Sikukuu ya Watu wasiotumia Condoms duniani, Wish kwa wote ambao unajua hawatumii condoms.. Salam zangu ziwaendee Bujibuji , Sikonge ,Preta Kaunga ,snowhite ...... Click to expand... Mkuu mwondoe huyo wa katikati halafu mwongeze Arushaone na mke wako manake nasikia hawakutumia pulizo siku walipofumaniwa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Boflo said: View attachment 69753 Leo ni Sikukuu ya Watu wasiotumia Condoms duniani, Wish kwa wote ambao unajua hawatumii condoms.. Salam zangu ziwaendee Bujibuji , Sikonge ,Preta Kaunga ,snowhite ...... Click to expand... Mkuu mwondoe huyo wa katikati halafu mwongeze Arushaone na mke wako manake nasikia hawakutumia pulizo siku walipofumaniwa
Boflo JF-Expert Member Jan 20, 2010 4,384 4,409 Oct 30, 2012 Thread starter #9 Preta said: kwenda hukoooo..... Click to expand... Unakasirika nini sasa....wakati jumba la mbezi unaogelea bila kufuli....uroda twajilia bila zana
Preta said: kwenda hukoooo..... Click to expand... Unakasirika nini sasa....wakati jumba la mbezi unaogelea bila kufuli....uroda twajilia bila zana
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Oct 30, 2012 #10 Boflo said: Unakasirika nini sasa....wakati jumba la mbezi unaogelea bila kufuli....uroda twajilia bila zana Click to expand... unaanza kutoa siri sasa.......
Boflo said: Unakasirika nini sasa....wakati jumba la mbezi unaogelea bila kufuli....uroda twajilia bila zana Click to expand... unaanza kutoa siri sasa.......
Mzee wa Rula JF-Expert Member Oct 6, 2010 8,171 3,346 Oct 30, 2012 #11 Preta said: kwenda hukoooo..... Click to expand... Aiseee jibu ninalo tayari, nakupa hongera kwa kujali tehe tehe.
Preta said: kwenda hukoooo..... Click to expand... Aiseee jibu ninalo tayari, nakupa hongera kwa kujali tehe tehe.
Arvin sloane JF-Expert Member Jul 18, 2011 996 203 Oct 30, 2012 #12 Watu siku hizi wanatumia Condom za vidonge.
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Oct 30, 2012 #13 Mwe! Asavali mie simo kwenye orodha,kumbe bado sijashtukiwa,kweli shetani mkubwa
Boflo JF-Expert Member Jan 20, 2010 4,384 4,409 Oct 30, 2012 Thread starter #14 Preta said: unaanza kutoa siri sasa....... Click to expand... Bac simwagi mtama hapa kuna kuku wengi wana weza kumaliza mtama...kama snowhite na mwaJ Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Preta said: unaanza kutoa siri sasa....... Click to expand... Bac simwagi mtama hapa kuna kuku wengi wana weza kumaliza mtama...kama snowhite na mwaJ
snochet JF-Expert Member Mar 31, 2011 1,407 1,110 Oct 30, 2012 #15 Maadhimisho hapa nchini yatafanyikia wapi?JK atakuwepo?
snowhite JF-Expert Member Aug 2, 2012 17,708 23,637 Oct 30, 2012 #16 FirstLady1 said: hao uliowataja ndo hawatumii protection ? Kuna haja ya kwenda kuwapima my brother Sikonge ...hebu nambie ya kweli hayo? Click to expand... ahhahahahhahah we achana na Boflo bana! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
FirstLady1 said: hao uliowataja ndo hawatumii protection ? Kuna haja ya kwenda kuwapima my brother Sikonge ...hebu nambie ya kweli hayo? Click to expand... ahhahahahhahah we achana na Boflo bana!
snowhite JF-Expert Member Aug 2, 2012 17,708 23,637 Oct 30, 2012 #17 Boflo said: Bac simwagi mtama hapa kuna kuku wengi wana weza kumaliza mtama...kama snowhite na mwaJ Click to expand... af we dogo wewe!na ndo nishajua sasa kuwa mambo ndyo vile!.............
Boflo said: Bac simwagi mtama hapa kuna kuku wengi wana weza kumaliza mtama...kama snowhite na mwaJ Click to expand... af we dogo wewe!na ndo nishajua sasa kuwa mambo ndyo vile!.............
mtotowamjini JF-Expert Member Apr 23, 2012 4,526 1,169 Oct 30, 2012 #18 wengi humu kavu kavu day ni kila siku....
kalukamise JF-Expert Member May 4, 2011 683 189 Oct 30, 2012 #19 Mkuu Boflo hebu tumwagie ratiba kamili, je kutakuwa na maandamano ? kama ndio kibali je.
mwaJ JF-Expert Member Sep 27, 2007 4,074 2,947 Oct 30, 2012 #20 bujibuji said: boflo, hivi kondom ndio zinatumika kuzibia pancha za baiskeli??? Click to expand... hapana zinatumika kutengeneza big g.
bujibuji said: boflo, hivi kondom ndio zinatumika kuzibia pancha za baiskeli??? Click to expand... hapana zinatumika kutengeneza big g.