Happy Islami New Year 1431 Hijiriyah

Hakika sasa unakufuru. Mimi nimepitia Quran yote kwa maana ya Sura zote 114 na aya zote 6236, nabii Eissa ametajwa mara 19 tu na mara zote wamesema Eisa Bin mariam na hata ukipita kwenye tafsiri mbali wamemwita Mesiah son of Mariam.

Hakuna Neno kristo. labda Hiyo tafsiri ni zenu kanisani kuhalalisha hilo neno Mpakwa mafuta.

Huyu Shetani anaye jiita maxshimba asikubabaishe, anakopi aya nusu nusu na wakati mwingine anaweka maneno yake mwenyewe katika aya.

Yeye yupo katika kundi la Iblis.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom