Happy Islami New Year 1431 Hijiriyah

Barubaru

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
7,161
2,323
Nawatakia kila la kheir na mafanikio mema katika Mwaka huu mpya wa Kiislam 1431 Hijiriyah.

Hakika ni vizuri wote kuangalia nini tumekifanya mwaka uliopita 1430 na nini tunakusudia kufanya mwaka mpya 1431 Hijiriyah.

Nawausia pamoja na kuiusia nafsi yangu katika kuzidi kumcha na kumpwekesha Mwenyezi Mungu mola wa viumbe wote aliyeumba vyote vilivyomo Ardhini na mbinguni na baina yake.

Happy Islami New year.

Hapa Qatar umeanza utaaanza 18 Dec.
[SIZE=-1]December[/SIZE]
[SIZE=-1]Dhul-Hijjah/Muharram 1431 [/SIZE]
[SIZE=-1]S[/SIZE][SIZE=-1]M[/SIZE][SIZE=-1]T[/SIZE][SIZE=-1]W[/SIZE][SIZE=-1]T[/SIZE][SIZE=-1]F[/SIZE][SIZE=-1]S[/SIZE][SIZE=-1]1[/SIZE]
[SIZE=-1]14[/SIZE][SIZE=-1]2[/SIZE]
[SIZE=-1]15[/SIZE][SIZE=-1]3[/SIZE]
[SIZE=-1]16[/SIZE][SIZE=-1]4[/SIZE]
[SIZE=-1]17[/SIZE][SIZE=-1]5[/SIZE]
[SIZE=-1]18[/SIZE][SIZE=-1]6[/SIZE]
[SIZE=-1]19[/SIZE][SIZE=-1]7[/SIZE]
[SIZE=-1]20[/SIZE][SIZE=-1]8[/SIZE]
[SIZE=-1]21[/SIZE][SIZE=-1]9[/SIZE]
[SIZE=-1]22[/SIZE][SIZE=-1]10[/SIZE]
[SIZE=-1]23[/SIZE][SIZE=-1]11[/SIZE]
[SIZE=-1]24[/SIZE][SIZE=-1]12[/SIZE]
[SIZE=-1]25[/SIZE][SIZE=-1]13[/SIZE]
[SIZE=-1]26[/SIZE][SIZE=-1]14[/SIZE]
[SIZE=-1]27[/SIZE][SIZE=-1]15[/SIZE]
[SIZE=-1]28[/SIZE][SIZE=-1]16[/SIZE]
[SIZE=-1]29[/SIZE][SIZE=-1]17[/SIZE]
[SIZE=-1]30[/SIZE][SIZE=-1]18[/SIZE]
[SIZE=-1]MH[/SIZE][SIZE=-1]19[/SIZE]
[SIZE=-1]2[/SIZE][SIZE=-1]20[/SIZE]
[SIZE=-1]3[/SIZE][SIZE=-1]21[/SIZE]
[SIZE=-1]4[/SIZE][SIZE=-1]22[/SIZE]
[SIZE=-1]5[/SIZE][SIZE=-1]23[/SIZE]
[SIZE=-1]6[/SIZE][SIZE=-1]24[/SIZE]
[SIZE=-1]7[/SIZE][SIZE=-1]25[/SIZE]
[SIZE=-1]8[/SIZE][SIZE=-1]26[/SIZE]
[SIZE=-1]9[/SIZE][SIZE=-1]27[/SIZE]
[SIZE=-1]10[/SIZE][SIZE=-1]28[/SIZE]
[SIZE=-1]11[/SIZE][SIZE=-1]29[/SIZE]
[SIZE=-1]12[/SIZE][SIZE=-1]30[/SIZE]
[SIZE=-1]13[/SIZE][SIZE=-1]31[/SIZE]
[SIZE=-1]14[/SIZE]
 
Miezi ya Kiislam ni hii.

The Islamic months are named as follows:[3]
  1. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Muharram"]Muharram[/ame] محرّم (or Muḥarram al Ḥaram)
  2. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Safar"]Safar[/ame] صفر (or Ṣafar al Muzaffar)
  3. Rabi' al-awwal (Rabī' I) ربيع الأول
  4. Rabi' al-thani (or Rabī' al Thānī, or Rabī' al-Akhir) (Rabī' II) ربيع الآخر أو ربيع الثاني
  5. Jumada al-awwal (Jumādā I) جمادى الاول
  6. Jumada al-thani (or Jumādā al-akhir) (Jumādā II) جمادى الآخر أو جمادى الثاني
  7. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Rajab"]Rajab[/ame] رجب (or Rajab al Murajab)
  8. Sha'aban شعبان (or Sha'abān al Moazam)
  9. Ramadan رمضان (or Ramzān, long form: Ramaḍān al Mubarak)
  10. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Shawwal"]Shawwal[/ame] شوّال (or Shawwal al Mukarram)
  11. Dhu al-Qi'dah ذو القعدة
  12. Dhu al-Hijjah ذو الحجة
 
Nawatakia kila la kheir na mafanikio mema katika Mwaka huu mpya wa Kiislam 1431 Hijiriyah.
Kwa kuongezea ni kwamba hiyo 1431 inahesabiwa baada ya kuzaliwa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu.
 
Yesu wangu........hili nilikuwa silijui........ Barubaru naomba ufafanuzi juu ya hili kama una ufahamu nalo
 
Kwa kuongezea ni kwamba hiyo 1431 inahesabiwa baada ya kuzaliwa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu.

Hapana,,mwaka huo unahesabiwa baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) na masahaba zake kuhama Makka na kuhamia Madinna.
Siku hiyo (waliyohama) ilikua ni sawa na tarehe 16 Julai, 622 AD
 
Kilakitu chenu nyie kiko nyuma tu...Mwaka wenu nyuma...Maandishi ya kitabu chenu nyumanyuma...In short its a total confusion!...By ze way, happy nyu yia!
 
Hivi huu mwaka umetajwa kwenye aya ipi ya Quran ambayo ilidaiwa "kushushwa," na kama haujatajwa una uhalali upi (kama Quran yenyewe ni halali anyway)?
 
Mkuu hili linaitwa swali lililo enda shule. Swadakta Mukulu.

Waislam, tunasubiri majibu.
 
Hivi huu mwaka umetajwa kwenye aya ipi ya Quran ambayo ilidaiwa "kushushwa," na kama haujatajwa una uhalali upi (kama Quran yenyewe ni halali anyway)?

Mtume Mohammad S A W ametuachia vitu viwili tu navyo ni Quran Na Hadithi ( yaani matendo yake).

Ukirejea kwenye Quran miaka yote imebainishwa kutokana na matukio. Mfano kuna Amma lfili yaani mwaka wa Tembo n.k.

Nikija kwenye hili suala lako ,mwaka huo unahesabiwa baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) na masahaba zake kuhama Makka na kuhamia Madinna.
Siku hiyo (waliyohama) ilikua ni sawa na tarehe 16 Julai, 622 AD .

Sasa hili ni tukio na limewekwa katika kumbukumbu na sisi waislam kwa vile tumeamrishwa kutunza na kuweka kumbukumbu ndio maana tunahesabu tokea hapo.
nafikiri nimekithi suala lako.

Max na wenzako nawatakia happy Islamic New Year
 
Kwa kuongezea ni kwamba hiyo 1431 inahesabiwa baada ya kuzaliwa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu.

Inasikitisha sana kuona mtu huyu hajui hata Unayemwita BWANA WAKO AMEZALIWA LINI.
Askofu MAXSHIMBA msaidie huyu au ndio wale waliosemwa kuwa " Siye kila mtu asemaye Bwana Bwana ataingia kwenye ufalme wa Minguni, bali ....."

Pole sana, Kwa kukupa msaada Bwana wako inasadikiwa amezaliwa miaka 2009 iliyopita. maelezo zaidi atakupa Askofu MaxS
 
Nawatakia kila la kheir na mafanikio mema katika Mwaka huu mpya wa Kiislam 1431 Hijiriyah.

Hakika ni vizuri wote kuangalia nini tumekifanya mwaka uliopita 1430 na nini tunakusudia kufanya mwaka mpya 1431 Hijiriyah.

Nawausia pamoja na kuiusia nafsi yangu katika kuzidi kumcha na kumpwekesha Mwenyezi Mungu mola wa viumbe wote aliyeumba vyote vilivyomo Ardhini na mbinguni na baina yake.

Happy Islami New year.

Hapa Qatar umeanza utaaanza 18 Dec.

Aamin yarabi Aamin.

Tunawaombea waislam wote kutia nia ya kwenda hija mna Inshalllah Allah atawajaalia mwakni waende Hijja.

Nawatakia mwaka mpya mwema
 
Mtume Mohammad S A W ametuachia vitu viwili tu navyo ni Quran Na Hadithi ( yaani matendo yake).

Ukirejea kwenye Quran miaka yote imebainishwa kutokana na matukio. Mfano kuna Amma lfili yaani mwaka wa Tembo n.k.

Nikija kwenye hili suala lako ,mwaka huo unahesabiwa baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) na masahaba zake kuhama Makka na kuhamia Madinna.
Siku hiyo (waliyohama) ilikua ni sawa na tarehe 16 Julai, 622 AD .

Sasa hili ni tukio na limewekwa katika kumbukumbu na sisi waislam kwa vile tumeamrishwa kutunza na kuweka kumbukumbu ndio maana tunahesabu tokea hapo.
nafikiri nimekithi suala lako.

Max na wenzako nawatakia happy Islamic New Year

Swadakta :)
 
hapo kwenye nyekundu ukisia mapokeo ndio hayo, kwa hiyo unapowaambia kuwa baadhi ya wakristo wanafata mapokeo (dogma) ndio kama hizo hadithi
lakini nadhani historia inafichwa au inaharibiwa, hiyo miezi na hiyo miaka haikuwa ya kiisalamu kuna wale mnaowaita makafiri waliokuwa wanaishi Makka enzi hizo na walikuwa wakimiliki ule msikiti mkuu wa makka pamoja na lile jiwe, hawa walikuwa na miezi kama hiyo kwa maana walikuwa wanafunga mwezi wa ramadhani kama waislamu wa sasa, kwa hiyo huo sio mwaka wa kiislamu
 
Inasikitisha sana kuona mtu huyu hajui hata Unayemwita BWANA WAKO AMEZALIWA LINI.
Askofu MAXSHIMBA msaidie huyu au ndio wale waliosemwa kuwa " Siye kila mtu asemaye Bwana Bwana ataingia kwenye ufalme wa Minguni, bali ....."

Pole sana, Kwa kukupa msaada Bwana wako inasadikiwa amezaliwa miaka 2009 iliyopita. maelezo zaidi atakupa Askofu MaxS

Swali dogo kwako, Mtume wako Marehemu Muham-mad, alizaliwa mwaka gani na kufa mwaka gani na kwasababu gani mnatumia hiyo miaka?
 
Mtume Mohammad S A W ametuachia vitu viwili tu navyo ni Quran Na Hadithi ( yaani matendo yake).

Ukirejea kwenye Quran miaka yote imebainishwa kutokana na matukio. Mfano kuna Amma lfili yaani mwaka wa Tembo n.k.

Nikija kwenye hili suala lako ,mwaka huo unahesabiwa baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) na masahaba zake kuhama Makka na kuhamia Madinna.
Siku hiyo (waliyohama) ilikua ni sawa na tarehe 16 Julai, 622 AD .

Sasa hili ni tukio na limewekwa katika kumbukumbu na sisi waislam kwa vile tumeamrishwa kutunza na kuweka kumbukumbu ndio maana tunahesabu tokea hapo.
nafikiri nimekithi suala lako.

Max na wenzako nawatakia happy Islamic New Year

Asante.

Lakini tarehe ya 16 July 622 AD si ya Kikristo?
 
Hivi huu mwaka umetajwa kwenye aya ipi ya Quran ambayo ilidaiwa "kushushwa," na kama haujatajwa una uhalali upi (kama Quran yenyewe ni halali anyway)?

wagalatia wanapokosa hoja, huwa wanauliza maswali yasiyo ni kichwa wala miguu
 
Ni makafiri gani hao wanaomiliki msikiti na kufunga ramadhani?by the way, walikuwa na miezi kama hii au miezi yao ilikuwa ni hii tunayotumia sasa? Hivi tukisema KITUKO ni mrembo kama mwanamke (i assume u are a man) ni sahii ku-conclude kwamba Kituko ni mwanamke? Makafikiri wa Makka tunaowajua ni wale ambao walikuwa wanampinga mtume na kumshambulia kutokana na kuwahubiria maneno ya mungu. Sasa ilikuwaje makafiri haohao wakawa wanafuata maamrisho ya allah kupitia mtume wake? nieleweshe kidogo, i hope upo deep ktk hili ni si kwamba ulisikia kwenye vijiwe vya kuimba kwaya.
 
wagalatia wanapokosa hoja, huwa wanauliza maswali yasiyo ni kichwa wala miguu

Swali la Mkuu BUCHANAN limeende shule, huwezi kujibu wakati unatumia Koran iliyo jaa shaka! Ndio maana umebakia na maneno matupu, eti hatuna hoja. lol.

Wewe jibu swali kama unaweza, kama huwe waachie wengine waje kujaribu kunywa juisi ya pilipili.
 
Back
Top Bottom